CORRIGER LES PAROLES

Paroles : Kushoto Kulia

Kushoto kulia
Kushoto Kulia (Jeshi) 
Kushoto Kulia  
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga 

Kushoto kulia 
Kushoto Kulia  
Kushoto Kulia  
Kapandisha wazimu analicheza vanga 

KondeBoy for everybody 
My music dey shake your body 
Eeh coz I do this for my people 
I wanna hear you sing tala lala 

Kikando kinanigadi 
Nafasi naongeza idadi 
Saluti kwa wanangu wa ghetto 
Segelea Okonga gwala gwala 

Wasonipenda kazi wanayo 
Eeeh kazi wanayo 
Mie sipigi genga pesa ninayo 
Eeeh pesa ninayo 

Tunatia chenga wanafuata nyayo 
Eeeh wanafuata nyayo 
Tunapiga denda wanapiga miayo 
Eeeh wanapiga miayo 

We kesha kwa waganganga 
Mwenzako najichanganganga 
Nazisanya faranganganga 
Nikipata natumia maduwoteru 

Ruksa nipanganga 
Napendaga vicheni vishanganganga 
Na uturi wa kanganganga 
Hakikisha unanukia 

Kushoto kulia 
Kushoto Kulia 
Kushoto Kulia  
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga 

Kushoto kulia 
Kushoto Kulia  
Kushoto Kulia  
Kapandisha wazimu analicheza vanga 

Samina mina eeh eeh 
Waka waka eeh eeh 
Samina mina eeh eeh 
Waka waka eeh eeh

 I say  
Samina mina eeh eeh 
Waka waka eeh eeh 
Samina mina eeh eeh 
Waka waka eeh eeh 

Wanaotaka shindana na mimi 
Hawapati hata sare 
Usishangae tattoo na vipini 
Ni makonde chale 

Peace kwa walonileta mjini 
Mondi wa Tandale 
Maneno majungu tupa chini 
Muziki utawale 

Kama nyapara kafunguliwa pingu wee 
Kutwa tunachana mawingu wee 
Ameshapanga wewe ni nani upangue 
Unajitesa buree(Yii Aga) 

We kesha kwa waganganga 
Mwenzako najichanganganga 
Nazisanya faranganganga 
Nikipata natumia  

Kushoto kulia 
Kushoto Kulia 
Kushoto Kulia  
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga 

Kushoto kulia 
Kushoto Kulia  
Kushoto Kulia  
Kapandisha wazimu analicheza vanga 

Bonga! Mwambie cheopa  
Moto hauzimwi na moto wewe 
Hahaha wakiziba kulia 
Si tunapita kushoto 

Hahahaha je mama jin 
Usicheze na jembe litakulipa 
My nigga Jose wa mipango 
Konde Gang is for everybody