AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Yalah
par
Mbosso
Retour
Paroles
(Ayolizer) Nimesadiki ya wahenga Penzi lina raha yake Mzigo kwa tenga Ifaacho mtu chake Denge nimekatwa ngenga Ah umate mate Najinyenga nyenga Mao mao tate Huwaga sioni Ninavyoipanda milima Ulimi sikioni Mwili wote wanizizima Mwenzenu sioni Macho mawili yote sina Tunaanza jikoni Mpaka varandani twalilima Yalah! yalah yalah, yalah yalah Oooh yalah yalah yalah Penzi limenizidia, yalah yalah Ni kubwa, yalah yalah Zito, yalah yalah, yalah yalah Tungezaliwa zamani Ningesema penzi togo Tulinywe kibarazani Tukitafuna maboga Nimekipanda uani Kibustani cha uyoga Tukishiba biryani Baby tule mboga mboga Sasa polisi wa nini? Nikikosa nikamate wewe Mahakama ya nini? Nikikosa nihukumu wewe Penzi chupa la balindi Tuligide baby hadi tulewe Videge shorwe vya nini? Kifaranga we nibebe mwewe Huwaga sioni Ninavyoipanda milima Ulimi sikioni Mwili wote wanizizima Mwenzenu sioni Macho mawili yote sina Tunaanza jikoni Mpaka varandani twalilima Yalah! yalah yalah, yalah yalah Oooh yalah yalah yalah Penzi limenizidia, yalah yalah Ni kubwa, yalah yalah Zito, yalah yalah, yalah yalah
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire