SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Yalah
by
Mbosso
Back
Lyrics
(Ayolizer) Nimesadiki ya wahenga Penzi lina raha yake Mzigo kwa tenga Ifaacho mtu chake Denge nimekatwa ngenga Ah umate mate Najinyenga nyenga Mao mao tate Huwaga sioni Ninavyoipanda milima Ulimi sikioni Mwili wote wanizizima Mwenzenu sioniĀ Macho mawili yote sina Tunaanza jikoni Mpaka varandani twalilima Yalah! yalah yalah, yalah yalah Oooh yalah yalah yalah Penzi limenizidia, yalah yalah Ni kubwa, yalah yalah Zito, yalah yalah, yalah yalah Tungezaliwa zamani Ningesema penzi togo Tulinywe kibarazani Tukitafuna maboga Nimekipanda uani Kibustani cha uyoga Tukishiba biryani Baby tule mboga mboga Sasa polisi wa nini? Nikikosa nikamate wewe Mahakama ya nini? Nikikosa nihukumu wewe Penzi chupa la balindi Tuligide baby hadi tulewe Videge shorwe vya nini? Kifaranga we nibebe mwewe Huwaga sioni Ninavyoipanda milima Ulimi sikioni Mwili wote wanizizima Mwenzenu sioniĀ Macho mawili yote sina Tunaanza jikoni Mpaka varandani twalilima Yalah! yalah yalah, yalah yalah Oooh yalah yalah yalah Penzi limenizidia, yalah yalah Ni kubwa, yalah yalah Zito, yalah yalah, yalah yalah
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register