AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Simu
par
Goodluck Gozbert
Retour
Paroles
[Verse One] Hello Baba ni mimi mwanao Hii namba nimechukua Jeremiah hapa Inasema niite nitakuitikia Nitakuonyeshe magumu usiyo yajua mwanangu Ya leo simu yangu hii Napiga kwa imani tu Nakuomba sikiliza Daddy Naumia moyoni Unaweza tunusuru na hili na hili Manabii wale Baba ungewaambia kuna Corona Au tunadanganywa ni bandia wanaonaga Je umekaa kimya ukitazama wanayofanya (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Mbona mwaka jana walituambia Huu ni mwaka wa Bwana Tumekaa mwaka ulianza shwari Sasa hivi hatuelewi Kila saa alama ya hatari Ni mbaya habari Wamekufa saba, walikufa sita Mara ooh mnadanganywa wamefika kumi Chorus Mmmh acha ni sanitize Ooh barakoa kidogo, nisishike pua Mmmh acha ni sanitize Ooh barakoa kidogo, nisishike macho… (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Wakati nasubiri iii… [Verse Two] Heri matajiri tajiri Wanaweza kununua mask Wengine hizo pesa Ndo tunategemea tule Mama mama, ah muda wote ni presha Maana watoto wake maisha ndo wanatafuta Kwa siku kupata kwa siku tumezoea Hatuna maisha kabisa ya akiba Usipotuhurumia wewe ndo tumekwisha Usipotuhurumia wewe ndo tumekwisha Niliongea na waombaji Nikawaambia tusiache kuongea Maana adui ametumia mabaya mmh Mi nakuamimi kuamini Baba Mi nakuamimi mi kuamini [Chorus] Mmmh acha ni sanitize Ooh barakoa kidogo, nisishike pua Mmmh acha ni sanitize Mmmh barakoa kidogo, nisishike macho… Wakati nasubiri iii… Wacha ni sanitize (Asante)
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire