CORRECTAR LA LETRA

Letra : Kwendaa

(Depo on the Beat)

Sipendi mangoma za Kenya (Kwenda! Kwenda!)
Mi sitambui Omollo (Kwenda! We kwenda!)
Ah, si huyu boy huringa? (Kwenda! Kwenda!)
Mi sijawahi hire madinga (Kwenda! Shenzi!)
Ah, mi sipendi hizo mangoma (Kwenda! Kwenda!)
Mi sitambui Omollo (Kwenda! Kwenda!)
Manze huyo boy huringa (Kwenda! We kwenda!)
Mi sijawahi hire madinga (Kwenda! Shenzi!)

Imebidi nijirushe kwa debe (Imebidi nijirushe kwa debe)
Hizo makura lazima nibebe (Hizo makura lazima nibebe)
RAO na Ruto wameingiza njeve (Kijana anasema wanataka kujua)
Omollo pekee ndo amesimamisha reggae (Omollo, Omollo, Omollo)
Kaa nakuboo, chukua wembe umeze (Meza!)
Na hapa sikuji ndio niwabembeleze (Kwenda!)
Swag imetii, imepandishwa ndege (Zoom, zoom, zoom!)
Nakashikisha, utadhani ni veve (Ooh! Ooh! Ooh!)
MCSK wanahitaji mateke (MCSK wanahitaji mateke)
Nitakuja kwa ofisi niwabakishe ndethe (Kwendeni huko! Matako!)
Wasanii ndio mmeamua mtese (Wasanii ndio mmeamua mtese)
Kwenda! Pesa zetu mlete (Kwenda!)
Mi nitawakata kata hizo pembe (Mi nitawakata kata hizo pembe)
Wera hampigi, nyi ni wazembe (Wera hampigi, nyi ni wazembe)
Hakuna kuhepa, kwanza tujenge (Tupeeni hizo mapesa)
Rende ni Rong, mbogi ni genje (Rende ni Rong, mbogi ni genje)
Mavijana wanalia unenge (Mavijana hawajadishi kakitu)
Na bado mnafinyilia wagenge (Pesa iko wapi? We nilipe!)
Kwa saa hii tumegoma, wacha kaende (Wacha kaende, mimi sitaki)
Na siko solo, niko na kirende (Na siko solo, niko na ki-)