CORRECTAR LA LETRA

Letra : Ukweli Na Uwazi

WACHUJA NAFAKA Featuring FID Q - "Ukweli Na Uwazi" lyrics

Hisia zangu zinagota kwenye stimu za kulanduka (nduka)
Halafu msumbufu bwege eti unataka kuni-change mzuka (mzuka)
Khalfani prodyuza' P Majani
Naomba uniongezee jani
Halafu mwambie (?), boya ani (?) ubani
Utadata...Si dati
Utadata...Si dati
Aya bwana lakini kumbuka picha linaendelea
Usije kuharibu nyimbo' hili ni apple la kijani
Punguza mori, Majani
Tuisawazishe hii hali
Tusali kabla ya hasara' tukichelewa tutapigwa mawe (mawe)
Na ndo mtindo ambao uta wafanya walokole tupagawe
Midaa isha kwenda na hakuna atakaye mlinda mwanae
Kama unaringa; Haya we...Haya we...Haya we...Haaa...
Ukija kwenye suala la mlo' utakuta ni kasheshe
Ukitaka kujipatia ridhiki' lazima ukeshe (lazima ukeshe)
Unyonyeshe' Ayaah...
Hali si hali' dunia imegeuka kaa mbali
Wanafunzi mtumwe,msitumwe' hatusomi bila shing' kumi
Mwalimu badala ya kutufundisha; moja...mbili
...tatu...anatufundisha uhuni
Si ma...si maji ya ukoko hayo?
Wananchi wotе mateso' japokuwa raha kidogo wanapata
Ifikapo tenda nadata
Mbishi naamka asubuhi,sijanawa uso,chai sijaona,sijapiga mswaki
Tokea mdaa ulе ambao nilikuwa shule ya msingi
Na biashara yangu kubwa ilikuwa ni kuuza karanga na ganja
"Yote ni sababu ya njaa yetu na shida na matatizo ya dunia"...