CORRECTAR LA LETRA

Letra : Mtuache

Mpya nguo sina kila siku mnaniwaza mnaniwaza
Eti nimepinda kila siku ninalizwa ninalizwa
Si bora mngetuacha kwani mnanidaiii
Sibora mngeniacha kwani mnanidaiii
Aaaaah aaah
Mama amekuita veronica Mimi nakuita sinorita
Mama sita malavidavi
Telemundo temtelevida kweli shida zipo
Ila mi nataka kuishii naaaa

We jua nakupenda sanaaa sanaaaaa
Fanya fanya twende kwa mamaaa mamaa

Chorus
Aaaaaaah ye wa maishani ...bring but say
Aaaaaaaaah tupo kifungoni ...what can i say

Toto lina shape nyuma limenona nona jina
Minapiga peku ile mbuzi kagoma jinaa
I swear my darli we mama laaa mama laoooo
Unanipenda unanijali unanifaaaa aaah

Naona nyota imewaka kila kona
Kila mmoja anafurahi kuniona
Kila kitu kiko shegaa hakuna nomaaa oooh hakuna noma
Nipee........