ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
Huku
par
Sho Madjozi
Regreso
Letra
Iyo,iyo iyo Iyo,iyo iyo Sho, Madjozi Kwani unataka Madjozi ade ama nini Niahiambe aliki Mbona mwataka nasema napenda lakini Yeye haniambii Haweza akashindwa kifungo ata mia mbili Ela hanipigii, hivi nasema itabidi ongee ana mimi Kini hanisikii Kusubiri mimi kweli sitaweza Unanifeeli, keniwezi kunionyesha Sasa mimi nikihisi unanipenda Hukuniambia na ndio maana nilienda Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Niambia, huku hukunambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Hukuniambia kwamba wewe unanipenda Hukuniambia huku huku Hukuniambia kwamba wewe utaniweza Hukuniambia huku huku [Post Chorus] Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Sasa ukiniona na watu unakasirika, roho inakunjika Usiku uliniona natembea na arayika Kini hukuniita mpaka nyumbani umenitumia? Aje akipa kini hukunalika Wasa wanasema nionyeshe uacha kutificha Ni lakuni hambiaa Kusubiri mimi kweli sitaweza Unanifeeli, keniwezi kunionyesha Sasa mimi nikihisi unanipenda Hukuniambia na ndio maana nilienda Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Niambia, huku hukunambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Hukuniambia kwamba we unanipenda Hukuniambia huku huku Hukuniambia kwamba wewe utaniweza Hukuniambia huku huku [Post Chorus] Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Sho, Huku huku Huku huku, Huku Aish, Sho!
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse