ENVIAR LETRAS
Top 100
Lanzamientos de álbumes
Artistas
Comunidade
Francés
Portuguese
Inglés
Corrección Letra
AYA
par
Marioo
Regreso
Letra
Mmmmh mmmmhh [Verse One] Ndo kusema kwamba Nina bahati mbaya ama nyota imefifiaa Maana sio kweli kila siku mimi ndo naumiaaa Ndo kusema kwamba sura yangu mbaya Haina hulka ya kuvutia Maana sio kweli kila siku mimi ndo naumiaaa Ina maana penzi lingekua chombo cha usafiri Ningekosa hata sehemu ya kusimama Ningewezaje nitawezaje Au labda mapenzi hufaa kwa matajiri Halafu mi apa sina maana Sa nitaanzaje nitaanzaje Inawezekanaje nikose kufurahi Siku zote ninazoishi na uhai Najua mungu hapendi walimwengu mna via Nikisema niage nitakua najilaghai Moyo utakuwa bado unanidai Acha niweke imani ipo siku nitaridhishwa AYA, AYA, AYA, AYA [Verse Two] Na sinacho maanisha mnakijua Kuyakosa mapenzi inanitesa Sawa nakua nayaona Sa mbona yananizidia Hivi ninacho maanisha mnakijua Upweke unanitesa Halafu nakua nayaona Wengine wana enjoy aaah Ingekuwa gambe ndo dawa ya mawazo Ningekunywa nilewe aah Nilewe nilewe nilewe Inawezekanaje nikose kufurahi Siku zote ninazoishi na uhai Najua mungu hapendi walimwengu mna via Nikisema niage nitakua najilaghai Moyo utakuwa bado unanidai Acha niweke imani ipo siku nitaridhishwa AYA, AYA, AYA, AYA
videoclip
Tu nombre será publicado. Deje los campos en blanco para permanecer en el anonimato.
Enviar
Modal title
×
Insertar medios
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Recuérdame
Contraseña perdida
Conectarte
Registrarse