SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Sitaki
by
Mbosso
Back
Lyrics
Mimi wewe mimi ntakufa na wewe Mimi wewe mimi ntakufa na wewe Ni baraka za mungu na malaika Zimefanya mi nawe tujuane Sinashaka maana imeandikwa Ndege warukao wafanane Sisikii la muadhini wala la mnadi swala Tumelishana ya mini kwa dua sio kafara Sio wanyuzi tisini wala buku shing'dala Mambo ya kuzini zini tuwe halali twahara Kama mapenzi ugonjwa wa macho mi kabisa kengeza Na kama changuoni ndo kikulacho mi huyu kanimeza Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe Ngamia wangu anifaae jangwani Nimemuombea dua tusiishie njiani Ngamia wangu anifaae jangwani Nimemuombea dua tusiishie njiani Ooh usingizi wangu zeze la kitandani Nimemuombea dua tusiishie njiani Ngamia wangu anifaae jangwani Nimemuombea dua tusiishie njiani Kama mapenzi ugonjwa wa macho mi kabisa kengeza Na kama changuoni ndo kikulacho mi kwangu kanimeza Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe Aiih makopa kanimwagia makopa jama Aiih makopa kanimwagia makopa jama Ma ma ma ma kanimwagia makopa jama Aiih makopa kanimwagia makopa jama Mwa mwa mwa kanimwagia makopa jama Aiih makopa kanimwagia makopa jama
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register