SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Sina Nyota
by
Mbosso
Back
Lyrics
Mokko Mwenyewe anaona sawa ila mwambie Mime ananiumiza sana Ni zaidi ya kupagwa siponi ugonjwa Na nishamaliza dawa Aahhh ahhh Ahh ahh ah Na ajue bado nipo ila hali yangu Hoi hoi sina mabadiliko Machozi mafuriko fundi wa jiko langu Kaniacha maawe paka kalamba mwikoo (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Toka alivyo niacha (Nyota mbalamwezii) Mwenzake nimekamatwa (Na homa ya mapenzi) Toka alivyo niacha (Nyota mbalamwezii) Mwenzake nimekamatwa (Na homa ya mapenzi) Mwili tepetepeka Dina hafadhali mawazo yanitesa Bavu dabo deka Dega misumari na nathoofika Mwili tepetepeka Dina hafadhali mawazo yanitesa Bavu dabo deka Dega misumari na nathoofika Bado ndondondondo chururu Nkijaza akijai kibaba Na mi songo songo msururu sita haikai sabaa (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Mimi kituru ya kunguru [?] hazinipi msaada Macombe shaogadawaka susuru Huenda kasaau labda Kitandani mito ipo miwili Ubavu wewe Ubavu mimi Pakata nikonde kwa shubiri Nali kwepa nala na jini Nimefuta picha tulizopiga chumbani Ila bado zanisuta suta zimebaki kichwani Sila li nashtuka shtuka unaniita kizani Chozi lalowesha shuka na sina wa kunifuta nani Toka alivyo niacha (Nyota mbalamwezii) Mwenzake nimekamatwa (Na homa ya mapenzi) Toka alivyo niacha (Nyota mbalamwezii) Mwenzake nimekamatwa (Na homa ya mapenzi) Mwili tepetepeka Dina hafadhali mawazo yanitesa Bavu dabo deka Dega misumari na nathoofika Mwili tepetepeka Dina hafadhali mawazo yanitesa Bavu dabo deka Dega misumari na nathoofika
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register