SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Pipe Industries
by
Harmonize
Back
Lyrics
Pipes Industry, mkombozi wa mabomba Pipes Industry, mambo yote sasa bomba Pipes Industry, mkombozi wa mabomba Pipes Industry, mambo yote sasa bomba Hmm sambamba na dira ya serikali, ya awamu ya tano Yenye nia ya kusambaza maji safi salama Majitaka tunayatupa mbali, elfu mbili ishirini na tano Kote tanzania tunywa yaliyo safi salama Hmm tuwakabidhi hilo jukumu, Pipes Industry Maana wengine kelele usithubutu Ndio mabingwa wa mabomba magumu, Pipes Industry Kutumia miaka milele hayashiki kutu Tena hayatengenezwi mbali ni hapa hapa Tanzania Wawekezaji hodari wazawa wa Tanzania Bomba imara ngangari kivyovyote utavyotumia Hata bei yake sio Ghali ni nafuu kwa Mtanzania,hiyo yote Pipes Industry, mkombozi wa mabomba Pipes Industry, mambo yote sasa bomba Pipes Industry, mkombozi wa mabomba Pipes Industry, mambo yote sasa bomba Mabomba hayo hutumika, kwenye miradi ya ujenzi Kilimo umwagiliaji, hadi migodi ya madini Hupitisha maji taka kadhalika Kupasuka hayawezi, hata kwa wafugaji Ndio chaguo lao niamini eeh eeh Mabomba yanayokidhi ubora Viwango vya Taifa na Kimataifa ISO na TBAC Tena hayatengenezwi mbali, ni hapa hapa Tanzania Wawekezaji hodari, wazawa wa Tanzania Bomba imara ngangari, kivyovyote utavyotumia Hata bei yake sio Ghali, ni nafuu kwa Mtanzania Hiyo yote Pipes Industry, mkombozi wa mabomba Pipes Industry, mambo yote sasa bomba Pipes Industry, mkombozi wa mabomba Pipes Industry, mambo yote sasa bomba Asa watanzania wote wameyaona, wanayapenda Hadi Magufuli ameyaona, anayapenda Asa watanzania mabomba wameyaona, wanayapenda Magufuli mabomba ameyaona, anayapenda
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register