CORRECT LYRICS

Lyrics : Pipe Industries

Pipes Industry, mkombozi wa mabomba
Pipes Industry, mambo yote sasa bomba
Pipes Industry, mkombozi wa mabomba
Pipes Industry, mambo yote sasa bomba

Hmm sambamba na dira ya serikali, ya awamu ya tano
Yenye nia ya kusambaza maji safi salama
Majitaka tunayatupa mbali, elfu mbili ishirini na tano
Kote tanzania tunywa yaliyo safi salama

Hmm tuwakabidhi hilo jukumu, Pipes Industry
Maana wengine kelele usithubutu
Ndio mabingwa wa mabomba magumu, Pipes Industry
Kutumia miaka milele hayashiki kutu

Tena hayatengenezwi mbali ni hapa hapa Tanzania
Wawekezaji hodari wazawa wa Tanzania
Bomba imara ngangari kivyovyote utavyotumia
Hata bei yake sio Ghali ni nafuu kwa Mtanzania,hiyo yote

Pipes Industry, mkombozi wa mabomba
Pipes Industry, mambo yote sasa bomba
Pipes Industry, mkombozi wa mabomba
Pipes Industry, mambo yote sasa bomba

Mabomba hayo hutumika, kwenye miradi ya ujenzi
Kilimo umwagiliaji, hadi migodi ya madini
Hupitisha maji taka kadhalika
Kupasuka hayawezi, hata kwa wafugaji
Ndio chaguo lao niamini eeh eeh
Mabomba yanayokidhi ubora
Viwango vya Taifa na Kimataifa
ISO na TBAC

Tena hayatengenezwi mbali, ni hapa hapa Tanzania
Wawekezaji hodari, wazawa wa Tanzania
Bomba imara ngangari, kivyovyote utavyotumia
Hata bei yake sio Ghali, ni nafuu kwa Mtanzania
Hiyo yote

Pipes Industry, mkombozi wa mabomba
Pipes Industry, mambo yote sasa bomba
Pipes Industry, mkombozi wa mabomba
Pipes Industry, mambo yote sasa bomba

Asa watanzania wote wameyaona, wanayapenda
Hadi Magufuli ameyaona, anayapenda
Asa watanzania mabomba wameyaona, wanayapenda
Magufuli mabomba ameyaona, anayapenda