SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Unachezaje
by
Diamond Platnumz
Back
Lyrics
Ladies and gentleman Now the moment you've all been waiting for The world famous... Eh eh Zombe, oh S2Kizzy, baby Aga Mfukoni nina kiti (mati) Mkononi kai (mati) Nasikia kuna kiki (wapi?) Nije kujimwaga (kati) Oh, haitoshi Kalitaka Simba la baba kaletewa Oh my gosh Sasa kazima anataka kubebewa Oh, haitoshi Kalitaka Simba la baba kaletewa Oh my gosh Sasa kazima anataka kubebewa Nionyeshe unachezaje (unachezaje) Unachezaje (unachezaje) Kwani unachezaje (unachezaje) Unachezaje Asa nionyeshe unachezaje (unachezaje) Unachezaje (unachеzaje) Kwani unachezaje (unachеzaje) Unachezaje (unachezaje) Ilikwa mbili 4, 4 Pale pale (pale pale) Dawa ya show, show, show Nahisi ndale (nahisi ndale) Peleka Vuta Taratibu songa pupa Dereva Shusha Hapo mbele kwenye kuta Eh...huu ni mti gani (wa Mchongaoma) Ukiukata (haukatiki) Sisi ni mti gani (wa Mchongaoma) Wakitukata (hatukatiki) Nionyeshe unachezaje (unachezaje) Unachezaje (unachezaje) Kwani unachezaje (unachezaje) Unachezaje Asa nionyeshe unachezaje (unachezaje) Unachezaje (unachezaje) Kwani unachezaje (unachezaje) Unachezaje (unachezaje) Asa po po li po li po po po po po li po li po la (Po po li po li po po po po po li po li po la) Po po li po li po po po po po li po li po la (Po po li po li po po po po po li po li po la) Waambie chombo (kinapepea) Eh, chombo (kinapepea) Huwaga chombo (kinapepea) KIle chombo (kinapepea) Aweh... Acha Aweh... Ah... Huo mnazi (unakatika) Mnazi (unakatika) Mama mnazi (unakatika) Ona mnazi (unakatika) Ukitaka kukatika hukatika kati kati katika... Huo mjumba (unabomoka) Mjumba (unabomoka) Mama mjumba (unabomoka) Ona mjumba (unabomoka) Ukitaka kubomoka hubomoka bo bo bo bo bo bo bo... (Mix Lizer)
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register