SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Salima
by
Diamond Platnumz
Back
Lyrics
Je je je, ah The VOA Tuddy Thomas Wasafi... Salima, Salima, oh Najua maisha yako Yaliyumba pale ulipo wapoteza Wazazi wako Yule Salima wa jana Sio Salima wa leo Amekua wa kujinania Na kujikata tamaa Iko wapi furaha yake Alivyokuwa nayo mwanzo Iko wapi furaha yake Alivyokuwa nayo mwanzo Salima nakusanze kasuru Kagonga wekuye tenga tinyanya Salima chenisange nguya Yena nasoma nawe mwengee Salima mi ni sange yule yule Milie soma nawe Mwenge Zimeyayuka ndoto zako Ulizo kuwa nazo Salima (Oh, Salima) Mie mwenzako nakupenda (Oh, Salima) Mie nataka niwe wako (Oh, Salima) Tuwe na wana tujejenga (Oh, Salima) Niwe baba wa watoto (Oh, Salima) Mie mwenzako nakupenda (Oh, Salima) Mie nataka niwe wako (Oh, Salima) Tuwe na wana tujejenga (Oh, Salima) Niwe baba wa watoto (Salima) Naomba hiyo bahati Ya kuishi nawe Idondokee kwangu Isiende kwa mwingine Yasije kuwa kama yale Ya mla nawe hafi nawe Yasije kuwa kama yale Mla nawe hafi nawe Usijikate tamaa Kuna wengi wana shida kuliko zako Salima Wanaamini kupitia yule msemo Wa ridhiki hapo mbinguni kwake Wanaamini kupitia yule msemo Wa ridhiki mafungu saba Salima, oh (Oh, Salima) Mie mwenzako nakupenda (Oh, Salima) Mie nataka niwe wako (Oh, Salima) Tuwe na wana tujejenga (Oh, Salima) Niwe baba wa watoto (Oh, Salima) Mie mwenzako nakupenda (Oh, Salima) Mie nataka niwe wako (moyo wangu mama) (Oh, Salima) Tuwe na wana tujejenga (oh, mama) (Oh, Salima) Niwe baba wa watoto (Salima) Moyo unatamani Yaani kuwa kitabu ufungue (ufungue) Usione jinsi gani Unavyonifanya niugue Eh Zenda huri nana Uwawish Uwawi nashisee Mpaka kuherera baba Utungamizi Japo niulimishe Utamu Utamu moyo wangu mi kupendwa nawe Utamu Sa nini tatizo mami basi sema nielewe Ah, Salima, oh oh (oh aye) Salima, eh eh (oh aye) Salima, oh oh (oh aye) Salima, eh eh eh (Oh, Salima) Mie mwenzako nakupenda (nakupenda sana) (Oh, Salima) Mie nataka niwe wako (Oh, Salima) Tuwe na wana tujejenga (Oh, Salima) Niwe baba wa watoto (mama) (Oh, Salima) Mie mwenzako nakupenda (oh oh) (Oh, Salima) Mie nataka niwe wako (moyo wangu mama) (Oh, Salima) Tuwe na wana tujejenga (oh, mama) (Oh, Salima) Niwe baba wa watoto (Salima) I feel that I'm in love with you I feel that my life is you I feel that you're the only one I need I'm gonna trust Baby, I'm not perfect but I'm going my all the way And I just want to be with you Me and you, forever and ever (Oh, Salima) Mie mwenzako nakupenda (Oh, Salima) Mie nataka niwe wako (Oh, Salima) Tuwe na wana tujejenga (Oh, Salima) Niwe baba wa watoto (Oh, Salima) Mie mwenzako nakupenda (Oh, Salima) Mie nataka niwe wako (Oh, Salima) Tuwe na wana tujejenga (Oh, Salima) Niwe baba wa watoto (Salima) Wako watoto kedekede Na watoto kedekede Shemeji mchange Wandese atanisaidia (Salima, Salima, Salima)
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register