SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Nitarejea
by
Diamond Platnumz
Back
Lyrics
Ah ah ah... Vipi mizigo umeshaweka tayari Mmmh, ah ah Sijechelewa nkaachwa na gari Mmmh, ah ah Basi jikaze usilie mpenzi Ah ah ah Mi nitarudi niombee kwa mwenyezi Ah ah ah Zile taabu na njaa Msimu mzima mavuno hakuna Huwa nakosa raha Pale mkikosa cha kutafuna Roho yangu inauma Sema ntafanya nini Na pesa sina Nakuonea na huruma Bora niende mjini Kusaka tumaa Kama watoto wakinililia (kama) Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama) Wadanganye na vibagia (wadanganye) Waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama) Kama watoto wakinililia (kama) Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama) Nawe usichoke kuvumilia (usichoke) Na kila siku kuniombea (nirude salama) Wanajua kwamba nafsi na roho Vitakuwa na wasiwasi... Ukumbuke na moyo Utajawa na simanzi... Ntakapokuwa nakwenda shambani Afu niko peke yangu honey Ntapokuja kuwa na majirani nitaumia Ah ah ah... Pale napotoka kisimani (ah ah) Ama nipo na kuni kichwani (ah ah) Sina wakunitua nyumbani nitalia Maneno yako yananfanya nakosa raha Na mawazo Hata mwenzako sijawahi kufika Dar Huu ndio mwanzo Vile nakwenda na sijui pa kukaa Wala mavasi, oh oh We niombee niepushwe na balaa Na maradhi, oh oh Eh eh Kama watoto wakinililia (kama) Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama) Wadanganye na vibagia (wadanganye) Waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama) Kama watoto wakinililia (kama) Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama) Nawe usichoke kuvumilia (usichoke) Na kila siku kuniombea (nirude salama) Unapokwenda kama ukifika salama Utukumbuke na sisi Usisahau kama mkeo na wana Umetuacha na dhiki Vile usijali ila naomba chunga sana Ogopa na marafiki Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama Waambie sidanganyiki Unapokwenda kama ukifika salama Utukumbuke na sisi Usisahau kama mkeo na wana Umetuacha na dhiki Vile usijali ila naomba chunga sana Ogopa na marafiki Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama Waambie sidanganyiki Eh eh Nitrarejea mama Niombee nirude salama Oh, watoto wadanganye Hii... Ooh ooh ooh, oh oh Tusale Usijali Hmm, kama... Kama watoto wakinililia (kama) Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama) Wadanganye na vibagia (wadanganye) Waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama) Kama watoto wakinililia (kama) Waambie kesho nitarejea (nitarejea mama) Nawe usichoke kuvumilia (usichoke) Na kila siku kuniombea (nirude salama)
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register