SUBMIT LYRICS
Top 100
Album releases
artists
Community
French
Spanish
Portuguese
Correction Lyrics
Mapenzi Basi
by
Diamond Platnumz
Back
Lyrics
(A-A-A, AM Records) This is crazy But, I just wanna tell you How badly my heart is breaking This is absolutely painful for me to say 'Damn’ Mi mwenzenu tena basi Oh, mapenzi sitaki Oh, mwenzenu tena basi Basi Sitaki Mi mwenzenu tena basi Oh, mapenzi sitaki Oh, mwenzenu tena basi Basi Sitaki Yalinifanya nikaugua Mara napanga napangua Mwili ukakonda nikapungua Ah, sikulala (sikulala) Oh, maradhi nikaugua, oh oh Yakanichoma na kuungua roho Kutwa nawaza na kuwazua Sikulala... Eh Haya mapenzi bwana Hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nshagombana Nikatukanwa Lakini akanipiga teke Aiih Haya mapenzi bwana Hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nshagombana Nikatukanwa Iye Mi mwenzenu tena basi Oh, mapenzi sitaki Oh, mwenzenu tena basi Basi Sitaki Mi mwenzenu tena basi Oh, mapenzi sitaki Oh, mwenzenu tena basi Basi Sitaki Oh, nilishagombana na mama mzazi Akataka nimwagia radhi Sababu yule fulani Yule wa moyo wangu Yakaleta zengwe kwa kazi Ugomvi wa Simba na panzi Vurugu kwa majirani Ah, e Mola yangu Eh Haya mapenzi bwana Hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nshagombana Nikatukanwa Lakini akanipiga teke Aiih Haya mapenzi bwana Hayana maana Yalinifanya mi nichekwe Sababu yake nshagombana Nikatukanwa Iye Mi mwenzenu tena basi Oh, mapenzi sitaki Oh, mwenzenu tena basi Basi Sitaki Mi mwenzenu tena basi Oh, mapenzi sitaki Oh, mwenzenu tena basi Basi Sitaki
music video
Your name will be published. Leave fields blanks to remain anonymous.
Submit
Modal title
×
Insert media
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Remember me
Lost password
Sign in
Register