ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Hakuna Kulala
por
Zuchu
Retornar
Letra
La Lalalala la la, la la la la Mmmmh Namvuta faraghani Tunatubu tubu ndani Namtazama simwishi Namkanda ma mbavuni Nitayainua majeshi Vita nichague mimi Aanze Bangladeshi Amalizie Sudani la la la lalala ooooh, aah aah Twanozana hatosheki Kaniweka kifuani Hatingishiki haruki Yu watwabani Nampa na vya kuridhi Na vizungu vya kigeni Hakuna kulala, hakuna kulala, hakuna kulala Asubuhi itukute Hakuna kulala, hakuna kulala, hakuna kulala Na machwewe yatukute Mmmh siwezi kuficha hisia Maradhi yataniungua Ni zimwi nalolijua Kanila kanimalizia Mbora katimiliki Kwapa si za race race Hapitagi njia fupi Shosti kati ye za nini Nampa na vya kuridhi Na vizungu vya kigeni Hakuna kulala, hakuna kulala, hakuna kulala Asubuhi itukute Hakuna kulala, hakuna kulala, hakuna kulala Na machwewe yatukute Ladha yako, ladha yako Ladha yako, Ladha yako ni tamu Tamu sana
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse