ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Kuna Siku Youths Wataungana
por
Wakadinali
Retornar
Letra
Uh, uh Haina noma, huna namna Tuseme "bora uhai," haina maana Achia noma Maulana Life kwenye streets kakiumana Juu kuna siku youths wataungana Kuna siku youths wataungana Haina noma, huna namna Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama Haina noma, huna namna Tuseme "bora uhai," haina maana Achia noma Maulana Life kwenye streets kakiumana Juu kuna siku youths wataungana Kuna siku youths wataungana Haina noma, huna namna Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama Hata uwe mzito na we ni mtiaji, utachujwa Ubesh Chege eventually chunga Alitu-accuse cocro, tuna-smell kiplani magunga Ndio tuchokeshe njege, Kibronji aliisunda Action na pale na bhang, msanii nimejifichia salasa Tuwachekeshe, kucheki merit, tunaseti kuangukia darasa Kuna watu wa ocha hawawezi ngoja doh mpya iwafikiange faster 2020 hawataki trouser kuwararukianga rasa Tukivunjwa goti, bila ku-show ka Hussein Machozi We si player, bali diva, umekam ku-strike a pose GTA, Grand Prix, Rong Rende pia ni kikosi Sky ndae, si wa Hamilton, Valentino Rossi Naiwasha ndani ya ploti bila ku-doze Wao wanawashwa wakiwa juu, huko third floor na hatutemei kikohozi Mi ndio Simba nina Kovu, so ka we ni swara moja Still we doing flying toilet kwa hizo juala mpya Haina noma, huna namna Tuseme "bora uhai," haina maana Achia noma Maulana Life kwenye streets kakiumana Juu kuna siku youths wataungana Kuna siku youths wataungana Haina noma, huna namna Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama Haina noma, huna namna Tuseme "bora uhai," haina maana Achia noma Maulana Life kwenye streets kakiumana Juu kuna siku youths wataungana Kuna siku youths wataungana Haina noma, huna namna Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama Wataungana (Wataungana, wafanye mambo) Sifa zote kwa Maulana (R.I.P kwa Msando) Niku- nikukazana (Westie to Eastlando) Wata- wataungana (Wataungana, wafanye mambo) Wata- wataungana (Wataungana, wafanye mambo) Sifa zote kwa Maulana (R.I.P kwa Msando) Niku- kukazana (Westie to Eastlando) Wata- wataungana (For real, mmh, noma sana) Ile design nimeji-humble kwako, Baba Kila inaumanga, Eastlando, hustle nadra Kinagaubaga nafilisika nayo Tangu nianze kukufuata, hii feeling sitasahau Sina makao, ndio maana nimeishi kote Ka Sila na Paul, milango ziliji-open Casino za tao, mipango zao ni all same Nipate, nikose, nisote mpaka nikope Compe ni shughuli za dunia Kuwa-show wa-confess ni kupuliza gunia Kwa wale wote walo kula ma-scar Hutabaki njaa mpaka siku chura za-fly Juu ya madawa, vijana wetu wamepagawa Wasichana wetu, kazi wameshindwa, wanagawa Mambang'a wanachinjwa, wanagwaya Jiji na ma-banner tukishindangwa na gava Haina noma, huna namna Tuseme "bora uhai," haina maana Achia noma Maulana Life kwenye streets kakiumana Juu kuna siku youths wataungana Kuna siku youths wataungana Haina noma, huna namna Wakadinali, mtoto wa mama Haina noma, huna namna Tuseme "bora uhai," haina maana Achia noma Maulana Life kwenye streets kakiumana Juu kuna siku youths wataungana Kuna siku youths wataungana Haina noma, huna namna Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse