ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Rhumba Japani
por
Sauti Sol
Featuring(s) : Kaskazini, Bensoul, Xenia, Nviiri The Storyteller, Okello Max & Nhp
Retornar
Letra
[Wuod Omollo] Ooh, ooooh Ooh, ooooh Ooh, ooooh Ooh, ooooh [Kaskazini] Kuna rhumba ya Juja, na ni ya ma-boy Ukisaka mitumba, nenda rhumba ya Toi Kuna rhumba ya Kibich, utajua hujui Kuna rhumba for all you niggas, ila rhumba Japani Ndio rhumba [Bensoul] Kuna rhumba ya State House, iko chini ya maji (Yeah, okay) Kuna rhumba ya bunge, yeah, ya majambazi (Yo, yo) Ukileta ujinga, utalala ndani (Wueh!) Kuna rhumba for all you niggas, lakini rhumba Japani Ndio rhumba Hapa ni wapi? (Ni wapi?) Tumezungukwa na shisha na shashamani (Oh, no, no) Mapochopocho na vinywaji mbalimbali Wengine wanatapika wakizirai (Wakizirai, yeah) Hapa ni wapi? (Sol Generation) Wanatutwanga mapicha, ni paparazzi (Oh, no, no) Tumezungukwa na warembo geti kali Tunazitoka na style za kizamani [Bensoul] Ah! Ah Zoom! Skrr! skrr! [Xenia Manasseh] Kuna rhumba ya Westie, ya mabeshte Kwa mashinani, sheki your waisti Rhumba ni nyepesi, isikuwe kesi Kuna rhumba for all my niggas, ila rhumba Japani Ndio rhumba [Nviiri the Storyteller] Kuna rhumba Karura, ya kupanda miti Ukiwa Koinange, hakunanga risiti, eh, ai Rhumba Oyole, hiyo ni ya mangwati To all of my hoes and all of my niggas, rhumba Japani Ndio rhumba, ohh Hapa ni wapi? Tumezungukwa na ma-bouncer na machuani Kuna mapedi, mapoko, pia mapinji (Eh, eh, yeah, eh) Na wanaseti michele kwenye vinywaji (Kwenye vinywaji) Hapa ni wapi? Kuna visanga, vioja mahakamani (Vioja mahakamani) Wapenzi wapigana mate hadharani (Oh, ohh, oh, oh) Wengine wanatekana nyuma ya taxi (Nyuma ya taxi) [Bensoul] Zoom! Skrr! skrr! [Okello Max and Bensoul] Nitie rhumba obunga, mano mar jothurwa (Ah, zoom!) To kidwa bilo mbuta, rieri yo manyatta (Okay! Yeba!) Yawuoi orwaka akala, to nyiwa ondiso avunja (Skrr! skrr! Avunja!) Kuna rhumba for all you niggas, lakini rhumba Japani Ndio rhumba, ahh [Bien-Aimé and Chris Kiomo] Ahh Sol Generation, you know Hii shit imeniweka zone, inatamba Ahh Hapa ni wapi? Waheshimiwa wako nje kwa foleni Na raia wako ndani, wajivinjari Wanazitoka na style, ni za kiodi Hapa ni wapi? Ma-watchie wote wameleta utiaji Wakafungia wakubwa nje ya party Wakawachia ofisi wafanyikazi
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse