ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Vumilia
por
Rayvanny
Retornar
Letra
Niwe kibatarim ama mwanga wa mshumaa Kwenye kigiza cha jioni Pika dona ngangarii Tulishushie na dagaa Ukishatoka sokoni Kisha tufunge safari Itayo chukuwa masaa Utokwe jasho mgongoni Na vile nina machachari Nikikushika kibaa Utamu wa dicki nondoni Kuna muda nawaza, hivi nitakupa nini Sina mbele sina nyuma masikini Chakula shida nadona la chini niambiee Wenye mapesa vogi na ma lamborghini Wasije fanya ukanipiga chini Bado nawaza hivi nitakupa nini utuliee Sambusa kachorii pamia aaee Tukipata pesa ni sangala Mchicha mtori pamia aaee Kama tukikosa tunalala Kwa hiyo mama usijali Vumilia iyeeee Vuumilia iye iye Vumilia Kesho tutapata mapenzi Vumilia Vuumilia Vumilia Vumilia Kesho tutapata mapenzi Najuwa unatamani mama high waist Make up weaving za dubai na china Ule pamba nyepesi setaaar Chain ya dhahabu yenye jinnaa Oooooh, basi mama vumilia Nakupigania mpenzzzzi subiria Oooooh, acha kujiinamia punguza kulia tatusaidi Ati mapenzi si moyo Mapenzi ni pesa Kama kweli masikini yatatutesa Uchoyo usinipe pressure Naomba unipendee Kuna muda nawaza, hivi nitakupa nini Sina mbele sina nyuma masikini Chakula shida nadona la chini niambiee Wenye mapesa vogi na ma lamborghini Wasije fanya ukanipiga chini Bado nawaza hivi nitakupa nini utuliee Sambusa kachorii pamia aaee Tukipata pesa ni sangala Mchicha mtori pamia aaee Kama tukikosa tunalala Kwa hiyo mama usijali Vumilia iyeeee Vuumilia iye iye Vumilia Kesho tutapata mapenzi Vumilia Vuumilia Vumilia Vumilia Kesho tutapata mapenzi
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse