ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Naogopa
por
Rayvanny
Retornar
Letra
Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unadondoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unadondoka Kinacho ponza wengi ni moyo Wakikalia kuti kavu wanadondoka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Tena tochi ya mapenzi isinimulike Nimeyaona bayana Ndo maana sitaki kukumbuka ya jana Alivyonidanganya Moyo wangu ukapiga danadana nimeyaona bayana ndo maana sitaki kukumbuka ya jana alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana Kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi Tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi Unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki Umemteka kwa mali na cheki Kumbe vyombo anakula muuza magazeti Unayemwita bebi anaweza bebwa kama beki Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji Unayemwita bebi anaweza akabebwa kama beki Mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Unajisifu umempata Kumbe alo mwacha anamfata Anachotaka anakipata Wanasema hawara hana talaka Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Naogopa(naogopa) Tena tochi ya mapenzi isinimulike
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse