ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Chuchumaa
por
Rayvanny
Retornar
Letra
Chuchumaa kama vile unafua Mama unapika basi nije kupakua Chuchumaa kwenye choo cha mabua Ila chunga mchanga usiingie kitumbua Chuchumaa! Kisha ulegeze nyonga hiyo Chuchumaa! Unitoneshe kidonda hiyo Chuchumaa! Ona nyoka anaconda hiyo Chuchumaa! Ufanye mlima ufanye mlima kitonga hiyo Ai katoto, motomoto Moto moto, moto moto Aii baikoko, moto moto Joto joto, moto moto Kamata ukuta Shuka mpaka chini take it down zungusha Kamata nakupa Nikishika nyundo nipasue kichupa Oweoo weooo Kina dada mko wapi? Oweoo weooo Basi muingie kati Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Kimbau mbau, tukunyema Pilau lau, nipe supu tena Mashau shau kana sinema Yaani kanakula ndizi bila kumenya Basi nipe za Kichina eeh, msamba Fanya kama Bruce Lee, msamba Viuno vya kusigina eeh, msamba Fanya kama Jet Li Unavyocheza kwenye chaki Nataka hakataki Na chumbani Varangati kwaito Na pembeni Katikati Nakatachi bila wasi Kamedata na Wasafi tight-ooh Ai katoto, motomoto Moto moto, moto moto Aii baikoko, moto moto Joto joto, moto moto Kamata ukuta Shuka mpaka chini take it down zungusha Kamata nakupa Nikishika nyundo nipasue kichupa Oweoo weooo Kina dada mko wapi? Oweoo weooo Basi muingie kati Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa! Chuchumaa!
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse