ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Aje nione
por
Otile Brown
Retornar
Letra
Oooh, Ooh baby, Naamini kila binadamu ana ubaya na uzuri wake, baby, Mmmh, Naamini kila binadamu ana madhaifu yake, Ooh baby, Mmmh, Nami yangu nayajua na nakabiliana nayo, Ila mwenzio sitojua kwa kosa la kuumiza moyo wako, ooh nisamehe Tena najuta, najuta eeh, Aah, yalonikuta, Kazi ya ibilisi mama, Tena usiku silali, Labda nilewe chakari, Ama nilale mama na picha yako kifuani, Ndo nijisuku nami je unaniwaza Mmh baby, Ama tamaa kwangu ulishakata, Aje anione, aje akanione, Aje anione, Aje anione ne ne ne ne Wajua ninakukosa sana, hasa giza linapotanda, Mi mahututi, Mi mahututi Wajua nmekuzoea mama, nakuhitaji leo zaidi ya jana, Na endapo utachelewa mama, Mi maiti, Eeeh, Tena najuta, najuta eeh, (Mamaa) Yalonikuta, Kazi ya ibilisi mama, Tena usiku silali, Labda nilewe chakari, Ama nilale (mama) na picha yako kifuani, Ndo nijisuku nami, Je unaniwaza, Mmh, baby, Ama tamaa kwangu ulishakata, Aje anione, aje akanione, Aje anione, Aje anione ne ne ne.
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse