ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Swaga za wapi
por
Octopizzo
Retornar
Letra
Maswagga za wapi nikifanya mnacopy Maswagga za wapi officer kunihoji Maswagga za wapi kuzozana kwenye ploti Maswagga za wapi wanasanya na haitoshi eh eh Mi ni yule jamaa napenda madem Siwezi kaa bila bila kubongesha toto Kula chako pekee, yako Mimi mimi sihitaji chako wee Kinduku kiwake alafu mashuksha Kwa hayo machache napiga tequilla Maswagga za wapi nikifanya mnacopy Maswagga za wapi officer kunihoji Maswagga za wapi kuzozana kwenye ploti Maswagga za wapi wanasanya na haitoshi eh eh Sema kenye unadai niko Dubai Sema kenye unadai niko Mumbai Sema kenye unadai niko Shanghai Sema kenye unadai, kenye unadai nitabuy Changamka kila ngware Gizani hesabu zangu mita Ramadhan nimetinga kaa rada na kitita Maswagga za wapi nikifanya mnacopy Maswagga za wapi officer kunihoji Maswagga za wapi kuzozana kwenye ploti Maswagga za wapi wanasanya na haitoshi eh eh Mizani vina, ni gani mi sina Imbo mi sina zako za China Gizani kichaa, maganji ni shida Uliza jina, (Pizzo de) mi ni shida Kizazi kipya mi ndio leader Swagga zenyu zote pipa Kwenye boxer cheki FIFA Niko Messi hii La Liga Maswagga za wapi nikifanya mnacopy Maswagga za wapi officer kunihoji Maswagga za wapi kuzozana kwenye ploti Maswagga za wapi wanasanya na haitoshi eh eh
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse