ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
G.O.A.T.
por
Nyashinski
Retornar
Letra
N-Y-A, S-H-I, N-S-K-I, I stay fly G-O-A-T, that’s no lie Nabaki T-O-P till I die (Mbaya, mbaya) Mi siwadanganyi, bana This time, umati imesha-decide Wanati wana-legalise marijuana, yeah Ni funny naona design nilianzishanga mki-rhyme Ndio maana naji-describe kaa fundi wa ma-career Ni nini kaa si divine? Kutoka mahali tumetoka hadi kuji-find Kwa keja zina master mbili, huyu mrasta ana akili Na hamwezi zipima ata mkisimama na ratili over there Really, niko fine, check thermometer UG ishaamua since TZ iko na pombe wana-whine Na si tuko busy, tunagombezana online mapang’ang’a Saa hiyo nchi inachomeka na hatu-care Siasa ni za tribal line Streets ni mimi na jaba na ma-idle mind Industry ilikuwa flat, kila vital sign Tu-agree, comeback yangu ilikuwa right on time Yeah N-Y-A, S-H-I, N-S-K-I, I stay fly (Uh-huh) G-O-A-T, that’s no lie Nabaki T-O-P till I die Yeah, uh Hits mingi kaa Them Mushrooms na P-Unit pamoja Wanasemanga mi ni kaa kikundi mtu mmoja Kando yangu, iko mtu ana kidungi kwa toja In case wa-try pimana mvi na kocha Ni mi nasosi, kaongezeni chumvi na sosa Mind iko sharp kama suti inatosha Shughuli napiga sio lazima mzione Been here forever, na bado ni ngumu mnisome Sumu jikoni, saa ishaiva (Woo) Umeona nimedumu, mwisho umekuwa believer (Woo) Vichwa vigumu ndio hufika mahali nimefika (Woo) Kwama na worth yako, waseme we ni diva (Ye-ye-ye-ye-ye-ye-ye) N-Y-A, S-H-I, N-S-K-I, I stay fly (Uh-huh, yeah) G-O-A-T, that’s no lie Nabaki T-O-P till I die Yeah Kaa mbese na skush, I’m a household name I’m the best ever, lose never, can’t complain Already in the hall of fame and I’m still playing G.O.A.T. sh*t, I’m forever in my own lane Brought the game back, mi na Sauti, hakuna argument Made a space for you young n***as, msiwahi forget Na hiyo debt huwezi lipa Wengi hu-guess wanapata hit moja, wengi hu-mess, wengi huisha Wengi hutafuta shortcut, wanabaki wame-burn Took time off hii sh*t, nikai-study na nikai-learn Kaa ninayo, jua nilifanya kazi na nikai-earn Kaa ni luck, basi I’m as lucky as they come Shinchilla
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse