ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Blue
por
Nandy
Retornar
Letra
B-L-U-E B-L-U-E B-L-U-E B-L-U-E Mpenzi nipe karatasi Niandike hizi habari Habari za maisha ya game Maisha yote ya safari Maisha ya hatari Maisha ya shari Piga kabali Leo nitasema mengi Halitatosha hili daftari? Asubuhi kumekucha najikuta kwenye music Gain all lane hakuna tena pa ku luzi Rada line kila angle Nasimama ka Nyerere Nikifa hauzibi pengo Daddy ananiita malengo Mdogo kiumbo akili kama tembo Busy Babylon Bongo Msudani namsalamu Kichwani ni sifa nengo Kumi na tatu ni miaka Yote nipo kwenye game Usiniulize navyo kunda raha Uliza pia msoto So ukinikuta kwenye starehe na madem unanifuata Alafu unaniuliza habari za changamoto Game nilianza mtoto Leo nina watoto Mi ni mtoto nilifanya watoto wajue soko Kama sifa zangu zipo Na hamtaki kuzungumzia nitatulia Mwanaume hashindani na sidiria B-L-U-E(come on come on) B-L-U-E(say my name, say my name girl) B-L-U-E(Busy Babylon,Busy Babylon) B-L-U-E(eeh eeh iyee) Ni Sammy Rajab,nambari moja shule Sikuamini kama somo niliyatupa kulee Asante Mola kwa music, mama kula tulee Promota mkwanja kwanza show sifanyi buree Kwa pamba za blue blue Ma siter duu wakani kiss kiss Shusha tabasamu kama umeni miss miss Tuko pamoja Uswazi na mboga saba Usipocheza mapozi ataicheza mama na baba Mkiwa club si mnalewa tila lila Na role model wenu si ni Babylon Killer Msijifunge semeni uso kwa uso Unaogopa ajali ya bodaboda na Fuso Fanya business dada huwezi vadi Ulinzi uko salama shaki tagi Kama sifa zangu zipo na Hamtaki kuzungumza nitatulia Mwanaume hashindani na sidiria Mapozi nawe B-L-U-E (come on come on) B-L-U-E (say my name, say my name girl) B-L-U-E (Busy Babylon, Busy Babylon) B-L-U-E (eeh eeh iyee) Busy Babylon... Busy Babylon...
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse