ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Wangu
por
Nadia Mukami
Retornar
Letra
(Nadia) Wewe nani, unanipigia simu kama nani Eti niachane mume wako nani Unajua Nadia kweli mi ni nani? (Sanaipei) We ni nani, unampigia simu kama nani eeh Ata utoe vya ndani Atarudi hapa kwangu tu nyumbani eeh (Nadia) Anapenda vidogodogo Mwenzako anavimumunya Mwanamke unapenda zogo Tafuta jambo hilo la kufanya CHORUS (Nadia) Oh oh ni wangu Huyu nasema ni wangu Oh oh ni wangu Kubali yaishe ni wangu (Sanaipei) Oh oh ni wangu Huyu nasema ni wangu Oh oh ni wangu Mwishowe yataisha ni wangu
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse