ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Kuja Mbaya
por
Mbogi Genje
Retornar
Letra
(Hitman ting, hitman ting) (Badman ting, badman ting) Eh (Mbogi Genje) Taniua, eh Eh, ayaya Ati, ay Ni juu ya mzing?saa?hii niko ching-ching Lugha?ya kimambo hadi niko jing-jing Nimenyanya, niko?dim-dim King king, matululu ting-ting Ah di badman, niko ping-ping Wesh ako futi sita, husikii juu ya dikwara Kabla nikuchai, nikupeleke na mtara Gwala gwala, zied, dala dala Gala gala wote watakudara RIP Vasco, husikii inna di rush Moment of silence, tuwashie shash Juzi walimuok na ati leo wamepasha Kuja mbaya nikugeuze mboga (Mboga) Na nimebonda vile niko mogoka (Niko) Machingri bado zinacheza kwa mongo Nitakucheza mbaya ukizidi kutafash (Tafash) Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa) Na mambogi wako mamoshi (Mambogi) Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa) Na mariambez wako mamoshi (Stand up for the riambez) Luku diriba, toja imenyoa kungira (Ngira) Alele, leo kuserekwa pira (Wako pira) Na machaji leo tuko maondira Makang'ethe ni manduki za mafila Shashola ndio siezi ishi bila Kaki-dim nakiliet na warena (Na warena) Wakichuom nawavutia mbegega (Mbegega) Round hii, itabidi wameteveva (Wameteveva) Kuja mbaya nikugeuze mboga (Mboga) Na nimebonda vile niko mogoka (Niko) Machingri bado zinacheza kwa mongo Nitakucheza mbaya ukizidi kutafash (Tafash) Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa) Na mambogi wako mamoshi (Mambogi) Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa) Na mariambez wako mamoshi Mi hukamilisha, zangu mafisa (Safi) Slippery, wa***ia niko ma-grease Niko full tank, we ongeza pace Hii mtamase tumechaja na ni venye niko ganja Mi ndio ndonga, ule mrui Na mgenje guji tena sana Kuwakaza ndio mboka kila giz-giz Mi m-hard kaa Fuliza, we Okoa Guz na mahedi ziko kwa kebi (Guzu) Niko rampage za wikendi Kaa ni box, we huzama bila expense Alualala Lupita, usizundishie team Kuja mbaya nikugeuze mboga (Mboga) Na nimebonda vile niko mogoka (Niko) Machingri bado zinacheza kwa mongo Nitakucheza mbaya ukizidi kutafash (Tafash) Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa) Na mambogi wako mamoshi (Mambogi) Tuko nzakwa, wako shomwi (Tuko nzakwa) Na mariambez wako mamoshi Kwa sinting, wacha tifla na maefla Wamemokre, kwa mashedi ni mafozi (Fozi) Kidale, yao wabling na mandunya Mang'oi, kuwakata na manyoi Wafisa, kujibambisha na roko (Roko) Ma-TBN, mi huwatekesa maombling (Ombling) Makweng'a wakiriau magekenge Furda, ma-ghetto yout wanasofa Kwa Jah Jah, ried tings ni mogatha Jaba yu ni topa tings, magekenge (Gekenge) Uh, sina mbogi Jeri ju wote walikang'wa Far East, morio anzenza alimangwa Nitam-face mamu wako akini-diss Ess wa dii hadi yeye alitii, ati Geng geng zako, vako, beng sh*t Keng keng, wakiritho, masid Ked Ked, doba na makali Nganya huko area ni Safari Rally
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse