ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Warena
por
Khaligraph Jones
Retornar
Letra
(It's M City Music, baby) (Ay, yo, Chino, you again?) Man ah Guz, huskii setoka, niko rada Bling ni ya kilo, na si ati nyama Ndonyo bado ni mayut wanakaba Hizi rima, jina Guzu watataja MG zing, jina ndio bwaku Ukilaku, mavushying nakulaku Ukikatiwa kombato na mandunya Ukinilinki, niko rima inadi deep sea (Umojing) Niko chupri na kwa mbosho nina ndichwez (Kachwez) Odi mind, siwezi tii wanitinge Tukizidingi kotiko nikupinge (Pinge) Rampage na kuzidi kuwadalo Hata mao na-deliver to the people (The people) Na mashang', kuzinyafu, kunyambisha Ukikam na underation, kubwagishwa Nina mbegega nategea nililishe Magambuti ni lazima niwafinye Si ndio kusema, shang' inatema (Si ndio kusema, shang' ina-) Kila kitu si hudu ni warena (Kila kitu si hudu ni warena) Utaliet ukikanashi warena (Ukikanashi warena) Utaliet ukikanashi wa-, yo (Utaliet uki-) Si ndio kusema, shang' inatema (Si ndio kusema, shang' ina-) Kila kitu si hudu ni warena (Kila kitu si hudu ni warena) Utaliet ukikanashi warena (Ukikanashi warena) Utaliet ukikanashi wa- (Utaliet uki-) Kaa riang' ni siaka, mi nitaku-brush Siwezi gwai isaa walosh, hadi mkuje mtu das Nimenjaku vodo mbwegze, wamenjaku vodo jas Wanabuya kakinuka, wanainzagi za backs Digi dwanzi rezi kujijaza gas Na vile kindie, kuna shang' nime-stash Ukidigi vodoo bwe' hakuna zeng, ni magwaash Wanafurisha magwado usongi wakinywa ku-have (Ku-have) Utabaki nikirao na ki-chrome Huko rima nyonyo wako amepitiwa za kichuom Huna riang' umeidra, man, ni ka huko some Juu ya gwethe zabe, nakupata ukiuza bomb Wanatupimia za ki-VAR Na walitubeba ndogo tukiwanga char Mi hutambua me realest, akina Michar (Michar) Na kifaa, nilichambua zanabe ya kiwar (Ya kiwar) Riambez wako idhaa inengi ni shuksha (Shuksha) Kum-swipe, tukimonchokanga bukla Kabla nijichape lazima kondiekcha (Kondiekcha) Portmore namezea kila ndiecha Unabanja sana ukinywa kuchweng'a (Kuchweng'a) Kimirista hamwezi bishana na kweng'a (Bishana na kweng'a) Mtadoz mbogi nzima mtarenga Mkijaribu kukanashi warena Unabanja sana ukinywa kuchweng'a (Kuchweng'a) Kimirista hamwezi bishana na kweng'a (Bishana na kweng'a) Mtadoz mbogi nzima mtarenga (Mtarenga) Mkijaribu kukanashi warena Si ndio kusema, shang' inatema (Si ndio kusema, shang' ina-) Kila kitu si hudu ni warena (Kila kitu si hudu ni warena) Utaliet ukikanashi warena (Ukikanashi warena) Utaliet ukikanashi wa-, yo (Utaliet uki-) Si ndio kusema, shang' inatema (Si ndio kusema, shang' ina-) Kila kitu si hudu ni warena (Kila kitu si hudu ni warena) Utaliet ukikanashi warena (Ukikanashi warena) Utaliet ukikanashi wa- (Utaliet uki-) Ghetto praise, mi sitekeswagi rogam Kunipree, we jidalo mara wutat (Mara wutat) Kujinauwo, sikunauwo, we ni who dat (Who dat?) Banja baga ni madua muok otolo (Otolo) Inna milien, kuwakweng' chaji seh kama che Tukisheng, kwa hii ground, si ma-king Hatu-zip, kuwa-sweep tuki-sip Hennessy Naughty dread, si mabingi, wako kinky Frenemy nawa-born ka warena (Warena) Si wazing', hatugwai hizi mapikni (Pikni) Huku njei wanang'am, ni wareng' wananjaku Ngumi mbwegze, ka si vyoi, tu-foot on hadi laksi Wana furaha shagla zetu zikijipa (Zikijipa) Mangwander, si hu-boss zihuwarianyu (Zihuwarianyu) Za wathii, siwezi fika kwa wakadu Kuna shang' nategea toka Dansu (Dansu) Utariau makidi za Isladu Nikirombotha chini, kovu digi doki Kwa bonje, siku zao ziko shomwi (Shomwi) Ni mila, mi mgenje, uliza Toppy (Uliza Toppy) MG, kila kitu wana-copy (Wana-copy) Wikendi, kurombos na ma-okli (Okli) Roho zao ufucha zinadai mopping Leta ufala utaparara na masoki Yo, utaliet ukikanashi warena (Ok) Wana-hate, hio ndio kamati ya Kenya (Woo!) Inakonge, usione nathobotha Reason vitu zimekalas hizo pharmacy za Tena (Haha) Omollo, Mwangi, niko thamaki na tema (Yes) Niko juu ya ngwete, sembe, samaki, omena (Mm!) Nimezoza sling, chini mambati warena (Woo!) Na nimeji-pin, niko na ka 30 kwa chamber (Iyee!) Macho drowsy ka wachinku wa Ben 10 (Ben 10) Mangwariti kwa mbosho ni ka za 10K (10K) Niko maweng, mi ni zing, niite Sensei (Sensei) Peng' akidai Uber, ita senke (Haha!) Addi teacher toka Gaza matopeni (Matopeni) Na hawa ma-n***a wanajijaza, wachocheni (Wachocheni) Na ka ma-diva mnabanja, jo, komeni (Woo!) Utaririma, nitawalaza, we ngojeni (Hahaha) Ukinitusi sitabonda, just another diss Bloodclaat, si huwachoma kama cannabis Kaa na this, uone venye mi nitakukang'a beef b*t*h boy, siku gani utasare uwaganis? (Woo!) Kaa huna form hii Nairobi, bosi hama Old school, mbogi huniita Bossy Bossiana Hobby naughty, kuchota mangoko, thotiana Kuwarudis choki, ni ka nimegoroki, ndio kwa maana Mtaa mbogi huniabudu ka tajiri fulan Na mi hucheza game bubu ka Sirikal Na tunaleta vurugu, si siri, man Smady, OG, Guzu, na Militan Si ndio kusema, shang' inatema (Si ndio kusema, shang' ina-) Kila kitu si hudu ni warena (Kila kitu si hudu ni warena) Utaliet ukikanashi warena (Ukikanashi warena) Utaliet ukikanashi wa-, yo (Utaliet uki-) Si ndio kusema, shang' inatema (Si ndio kusema, shang' ina-) Kila kitu si hudu ni warena (Kila kitu si hudu ni warena) Utaliet ukikanashi warena (Ukikanashi warena) Utaliet ukikanashi wa- (Utaliet uki-) (Digi doki) (Big shoutout to Vinc on the Beat, by the way)
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse