ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Tuma Kitu
por
Khaligraph Jones
Retornar
Letra
Hahahaha, OG Tuma kitu, yeah Yo, kwa mbosho nina rwabe mbele, nyuma (Sina pesa) Na bado inafaa nifike Ronga (Woo!) Niko Railways, buda, nimenuna (Achana na mimi) Najaribu kusikiza madonda (Niaje?) Mresh keja amedai hataki sukuma (Iyee!) Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda!) Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma!) Niwekee kwa hii namba, buda, boss (One, two, three) Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Na utume pia na ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Manze form sio poa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Usisahau ya kutoa Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu Gathee, tuma kitu Ay, yo, all I do is win kama Khaled ama Usman Kamaru Headbad but siingiangi booth na manyaru Leo ni Rangey, sitaki nuks za Subaru Mi bazenga, swag nawapigianga look ya Gumbaru Ndo nifike hapa, Amen, ni Mungu Hii kitu huwanga ni tamu but again ni uchungu I remember I wanted to work for NTV But maybe pia mi ningechujwa kama Ken Mijungu But mi ni rapper, nawapeleka na rieng Na kaa mashini, mi huendesha manuel Yesu ni Baba, sitaki mezesha jachieng "Yes Bana" inachuna tukiveveka na Bien Hatujaanza juzi, hii ni lugha ya zamani Jeshi yangu ya bangi huivuta hadharani So waambieni OG amefika Na hii ni rhumba ya Kayole, hii si rhumba ya Japani, let's go
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse