ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Yanga
por
Harmonize
Retornar
Letra
Oh oo oooo Hii hapa sauti ya Konde boy mjeshi Mtoto wa jangwani timu ya wananchi Yaani kati kati ya jiji la Dar Si ndo watoto wa jangwani Yanga Dar Africa Makombe ya kabatini Hawawezi kufika Mpira unapigwa chini magoli uhakika Yaani dakika tisini tumesha watundika (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Wanaona donge hao wanyonge (Wanaona donge hao wanyonge) Yanga tunaposhinda wanaona donge (Wanaona donge hao wanyonge) Wanaona donge hao wanyonge (Wanaona donge hao wanyonge) Yanga tunaposhinda wanaona donge (Wanaona donge hao wanyonge) Engineer naomba nikutume Unifikishie salamu Kwa Dr Msolo na Antonio Lugazi Ah waambie majirani Yanga sio size yao Yanga sio size yao, Kabisa! Wanaokwenda na waende, watuachie wenyewe Wanaokwenda na waende, watuachie wenyewe Yanga sio size yao, Yanga sio size yao Yanga sio size yao, Yanga sio size yao Yanga sio size yao, Yanga sio size yao (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Tupeleke GSM Watoto wa GSM Wanangu wa Jangwani Walepale wanachechemea (Yanga Tunakimbia) Waone wanachechemea (Yanga Tunakimbia) Eeeh Wanachechemea (Yanga Tunakimbia) Aanachechemea (Yanga Tunakimbia) Wakitoka wanachechemea (Yanga Tunakimbia) Yanga Kindakindaki wapige waniuwe Naipenda Yanga Kindakindaki wapige wniuwe Yani mi shabiki Kindakindaki wapige wniuwe Yanga Kufa kupona wapige wniuwe Eeh basi kama unaipenda Yanga piga Makofi We bwogi twende tena piga makofi Kama unaipenda Yanga piga makofi Ongeza Ongeza tena piga makofi Aya pasha pasha wahumi pasha Twende pasha pasha wahumi pasha Aya pasha pasha Yanga pasha I sey ma piga makofi piga makofi Piga makofi piga makofi Piga makofi piga makofi Kama wa ni shabiki kweli onyesha jezi nikuone Uzi mpya wa GSM we onyesha nikuone Kama kweli shabiki damu vua jezi nikuone We kama kweli shabiki damu lala chini tukuone Asa Yanga daima mbele Ehhh mbele kwa mbele (Wakinshindana nasiri watachuma tembele) Twende mbele kwa mbele Yanga daima mbele (Wakinshindana nasiri watachuma tembele) Yanga daima mbele Eeh mbele kwa mbele (Wakinshindana nasiri watachuma tembele) Yanga daima mbele Yani mbele kwa mbele (Wakinshindana nasiri watachuma tembele) Watoto wa Jangwani wambi Wambi majirani zetu wamechokoza nyuki Tunawapumilia gorin kwao Hatubanduki Anayezungumza Apa ni Konde boy #DTF Mjeshi Twende sasa
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse