ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Vibaya
por
Harmonize
Retornar
Letra
B Boy mmmh Oa aaah, oooh aaah Oooh aah...ooooh Alisema mapenzi vita Mi na yeye tuungane kuwateketeza maadui Eeh maadui Badala ya miezi kupita aah Vikombe lazima vigongane Na sio kwamba hayajui, eeh hayajui Pigo za kusema vya ndani mi sinaga hizo Ama kumtafuta mchawi ni nani ni kuongeza tatizo Tulia hapa tutakuwa wa ndani hadi paradiso Na tukatangaza kweupe mambo ya hadharani Na tattoo ndo hizo, oh oh ohhh Sitaki kuamini kwamba Lile kapu la mabaya yangu Halina hata machache mema oh mema Nitakuwa mshamba Nikiyasema yote mabaya ya mwenzangu Ili nionekane mwema Japo mapenzi yanaumiza I wish tusisemane (Vibaya vibaya) Ili kesho tusizikane (Vibaya vibaya) Usiwasikilize wapambe (Vibaya vibaya) Wanachotaka maneno ili kesho watuchambe (Vibaya vibaya) Oa aaah, oooh aaah Oooh aah...ooooh mmmh Nitunzie siri zangu Nami nitunze zako za miaka rudi nenda Kuna leo na kesho mmh mmh mmh Hata maadui zangu walikuwaga maadui zako Hawawezi kukupenda wanakuvuta uwe kichekesho Mmmh mmh mmh Maana hata ukisambaza Picha zangu za aibu ni sawa, hata hunikomoi Na hata utupu wako ukiutandaza Kwa watu wangu wa karibu sio doa, hujengi hubomoi Mama kuna kamchezo mtunze mtoto wako Na watu wenye majungu (Majungu) Nilikubali kuviacha vya dezo Sababu ya mapenzi yako nikaachana na mzungu (Mzungu) Maneno yao utadhani wanakutetea Kumbe tudhalilishane wanachongojea Usiwape faida wambea Na ni kama kawaida nakuombea Sitaki kuamini kwamba Lile kapu la mabaya yangu Halina hata machache mema oh mema Nitakuwa mshamba Nikiyasema yote mabaya ya mwenzangu Ili nionekane mwema Japo mapenzi yanaumiza I wish tusisemane (Vibaya vibaya) Ili kesho tusizikane (Vibaya vibaya) Usiwasikilize wapambe (Vibaya vibaya) Wanachotaka maneno ili kesho watuchambe (Vibaya vibaya) Oa aaah, oooh aaah Oooh aah, ooh aah...ooooh mmmh (Konde Music Worldwide) B Boy thank you for the sound Sound...Sound
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse