ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Nani
por
Harmonize
Retornar
Letra
Mmmh yeah Mmmh Yeah, (Moko) Asubuhi kumekucha Wingu limetanda Na mvua yata kunyesha Na uko mbali Mama Maji takitirika Ooh baridi itanishika We ndo chanda chema Uhakika unanitatisha tamaa Utaambiwa binadamu Ah kila mmoja ana mapungufu yake Sijui nilipoteleza Mama Si ungenambia Nime miss tabasamu Kutwa kucha Picha kumezea mate Yangu fimbo umeibezea Ah katu hautaki kuitumia Labda hesabu za kutoa Mi niligawanya baby unisamehe Na ile hasi nikaifanya chanya Baby unisamehe Na hata emoji za kulia Nazo kutumia nazo zikome Japo nipate furaha Ah huruma unionee Maana hii hali, hata haifichiki Kutwa wima kwa mpingo, kisiki Maana hata nikiona michezo ya njiwa Ah hua naitamani Kama si wewe Nitampenda nani? Nitampenda nani? Nitampenda nani Nani nitampenda Nitampenda nani? Nitampenda nani? Nitampenda nani Nani nitampenda, aah (Uuh) Eeh penzi usifanye kwa chombo cha usafiri Ikawa umeshuka ujе utanikatili Nitakuwaga mental, niko dhahari Si unasikia Penzi la dhati daima la wawili We fanya urudi lisiwе batili Ka wafanya kusudi ni ukatili Mi naumia We ndo yangu hifadhi Labda nilikosea msimbo Kweli kupenda kazi Wangu umegeuka fimbo o Mi ndo lako koroboi Lile lisilozima Aah si ulisemaga hauchomoi Kumbe imani unanipima aah Pia ulisema haudonoi Wameiteka mazima Ahaa simun'gunyi, sikohoi Sina vyangu nimechina Maana hii hali hata haifichiki Kutwa wima cha mpingo, kisiki Maana hata nikiona michezo ya njiwa Ah hua naitamani Kama si wewe Nitampenda nani? Nitampenda nani? Nitampenda nani Nani nitampenda Nitampenda nani? Nitampenda nani? Nitampenda nani Nani nitampenda, aah
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse