ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Kushoto Kulia
por
Harmonize
Retornar
Letra
Kushoto kulia Kushoto Kulia (Jeshi) Kushoto Kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga Kushoto kulia Kushoto Kulia Kushoto Kulia Kapandisha wazimu analicheza vanga KondeBoy for everybody My music dey shake your body Eeh coz I do this for my people I wanna hear you sing tala lala Kikando kinanigadi Nafasi naongeza idadi Saluti kwa wanangu wa ghetto Segelea Okonga gwala gwala Wasonipenda kazi wanayo Eeeh kazi wanayo Mie sipigi genga pesa ninayo Eeeh pesa ninayo Tunatia chenga wanafuata nyayo Eeeh wanafuata nyayo Tunapiga denda wanapiga miayo Eeeh wanapiga miayo We kesha kwa waganganga Mwenzako najichanganganga Nazisanya faranganganga Nikipata natumia maduwoteru Ruksa nipanganga Napendaga vicheni vishanganganga Na uturi wa kanganganga Hakikisha unanukia Kushoto kulia Kushoto Kulia Kushoto Kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga Kushoto kulia Kushoto Kulia Kushoto Kulia Kapandisha wazimu analicheza vanga Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh I say Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh Wanaotaka shindana na mimi Hawapati hata sare Usishangae tattoo na vipini Ni makonde chale Peace kwa walonileta mjini Mondi wa Tandale Maneno majungu tupa chini Muziki utawale Kama nyapara kafunguliwa pingu wee Kutwa tunachana mawingu wee Ameshapanga wewe ni nani upangue Unajitesa buree(Yii Aga) We kesha kwa waganganga Mwenzako najichanganganga Nazisanya faranganganga Nikipata natumia Kushoto kulia Kushoto Kulia Kushoto Kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga Kushoto kulia Kushoto Kulia Kushoto Kulia Kapandisha wazimu analicheza vanga Bonga! Mwambie cheopa Moto hauzimwi na moto wewe Hahaha wakiziba kulia Si tunapita kushoto Hahahaha je mama jin Usicheze na jembe litakulipa My nigga Jose wa mipango Konde Gang is for everybody
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse