ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Inanimaliza
por
Harmonize
Featuring(s) : Mr Blue
Retornar
Letra
First time when I saw you Nilitamani nikueleze, how I feel That was [?] alafu macho nikukonyeze Maybe you can feel I swear, moyo ungekuwa kitabu Ningefunua uone, yaliyomo ndani Yaani mwenzako napata taabu Sina furaha hata tone, nionege imani Oooh my love, ooh oh oh Macho yanaona kama umejibu yes Moyo unaona kama umesema non, non, non Macho yanaona kama umejibu yes Moyo unaona kama umesema non, non, non, non yeah Kusema kweli mi inaniumiza, inanimaliza, na sijamaliza Inaniumiza, inanimaliza, na sijamaliza Babylon, Bizy Yeah ah Sibongi nimekuwa kimbau mbau Ghafla chui nimekuwa kinyau nyau Mpaka sijui nayosema nimesahau Vita ya penzi imekuwa kama Mau Mau Nikiona sura nakonda Nikiona chura, nashindwa kubonga Nakua mburura masikini omba omba Kutwa nazurura kutuliza kidonda Maumivu kama yangu anayo Konde Boy Namtuliza mwanangu ah usikonde boy Macho yanaona yes, akili inasema non non non atakukazia Ooh oh oh Macho yanaona kama umejibu yes Moyo unaona kama umesema non, non, non Macho yanaona kama umejibu yes Moyo unaona kama umesema non, non, non, non yeah Kusema kweli mi inaniumiza, inanimaliza, na sijamaliza Inaniumiza, inanimaliza, na sijamaliza
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse