ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
I Miss You
por
Harmonize
Retornar
Letra
Yeah yea, yeah yea Only you, in my mind Nahisi mwingine hakuna Kwenye hii dunia I don't know what you do, never mind Hata salamu unauchuna, vimeseji nikikutumia Ingawa silijui kosa, ila fanya unisamehe Umeniadhibu vya kutosha, japo imani nionee Oooh baby, nikilala naota, naota kama unaniita Ila nafsi inasita, ipo siku nitaitika Oooh nikilala naota, naota kama unaniita Ila nafsi inasita, ipo siku nitaitika my baby I miss you I miss you Ukiona mtu mzima ma Analia ujue kuna jambo (I miss you) Maji hayapandi mlima ma Mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo (I miss you) Mmmh Nilisacrifice my love for you (oooh ooh) Leo unaniona sifai na matusi juu (oooh ooh) Natamani urudi mama, Ila siwezi kukufosi fosi Punguza makusi drama, hizo mbwembwe na maposti posti Kutwa nashinda Insta, nazitazama zako picha Usiombe bando likiisha, mi mpweke la yote tisa Oooh, nikilala naota, naota kama unaniita Ila nafsi inasita, ipo siku nitaitika Oooh nikilala naota, naota kama unaniita Ila nafsi inasita, ipo siku nitaitika my baby I miss you I miss you Ukiona mtu mzima ma, Analia ujue kuna jambo (I miss you) Maji hayapandi mlima ma, mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo (I miss you) Nikilala naota Naota kama unaniita Ila nafsi inasita mpenzi Ipo siku utaitika Nikilala naota Naota kama unaniita Ila nafsi inasita mpenzi Ipo siku utaitika
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse