ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Hayakuhusu
por
Harmonize
Retornar
Letra
Wewe, aah aah ah Haukutaka kulea, wakati unalelewa Lazima uvunjie watu wazima heshima Punguza mazea unajifanya una-care Wakati umemtelekeza Fahima Achana na walokutangulia Wakati kesho yako hujui itakwangukia Unaweza Wasafi ukatimuliwa Na Konde Gang ukaja kusign-iwa Unashindana na mwanajeshi Ambaye vita aliianza baba yako (Na hawezi) Msalimie kipa la ndezi Mwambie hata akikesha kwa sango (Hatuhami Mbezi) Nyimbo kaimbiwa Kajala Karauka na kupwita pwita Acha papara aah wee Naskia unachimba mikwara Hauna chochote wewe buma chakula ah wewe Mapenzi ya Konde na Kajala Yanakuhusu nini kaka wee (Hayakuhusu) Hata wakiongea video call Na Paula lakini si mwanae (Hayakuhusu) We njoo ukomae na muziki (Hayakuhusu) Ona kina Chinga tunahit (Hayakuhusu) Ah tumeanza jana hatushikiki (Hayakuhusu) Umeona Sound from Africa haisikiki, imebuma wee... Mambo ya kuhonga waandishi wa habari Nyi mmezoea tunawajua Hata Youtube zеtu mnapochokonoa Si tunawajua, tunawajua Kama vipaji mnavyo, sa wivu wa nini? Tufanye kazi na tusonge mbelе Kama vipaji mnavyo, na mnajiamini Ya nini sasa kupiga kelele Eeh akina Lokole, si wanawapost Sababu ndio machawa wao, ndio machawa wao Kila siku anawapromote Leo asikose ladha, ooh ladha ooh Ah chondelei mrudie Fahima ukamtunze mwanao Yasiwe ya Mzee Abdul na Nasibu Kumbuka kujinyima usimsahau mwanao Baadae akutunze usije pata aibu Mapenzi ya Konde na Kajala Yanakuhusu nini kaka wee (Hayakuhusu) Hata wakiongea video call Na Paula lakini si mwanae (Hayakuhusu) We njoo ukomae na muziki (Hayakuhusu) Ona kina Chinga tunahit (Hayakuhusu) Ah tumeanza jana hatushikiki (Hayakuhusu) Umeona Sound from Africa haisikiki, imebuma wee
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse