ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Band Rehearsal
por
Harmonize
Retornar
Letra
Ana kasura ka upole Miaka nenda rudi hazeeki Tena ni mtu wa gym gym Shepu ndo linanipa wazim zim Na tattoo ni mchore Ndo hivyo tena hapendeki Kweli mapenzi hayana mwalimu Wengine hata kuniona mia Hivi niseme ana ngekewa Ama nyota yake kali amenizidi Ama mjini nimechelewa Ona wengine wanamponda wanamuita bibi Tulianza kumuona mapema Enzi za mabanda ya cinema Alikuwaga akila mziki na Wema She is so cute Hata wanione mshamba tu Maji huwezi hapigia honi Umri nao ni namba tu Kinachoniuma anajifanya haoni Kama unamjua, mtaje Wewe unamjua, mtaje Hivi ni kweli unamjua, mtaje Napenda kesho anizimie Hivi nani anayemjua, mtaje Ramata unamjua, mtaje Kera unamjua, mtaje Baba nachange nikamwambie Licha ya maumivu maumivu Ila sijawai give up Mwenzenu nina wivu nina wivu Machozi hayaishi kuwaza Licha ya maumivu maumivu Ila sijawai give up Mwenzenu nina wivu nina wivu Machozi hayaishi kuwaza Nani anayemjua, mtaje Kama unamjua, mtaje Kama unamjua, mtaje Napenda kesho anizimie Kama unamjua, mtaje Nani anayemjua, mtaje Kama unamjua, mtaje Ndo maana nachange nenda umwambie
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse