ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Tokomeza Ziro
por
Diamond Platnumz
Retornar
Letra
Elimu bora ni muhimu (Tudd Thomas) Kwa kila mmoja Wote tuelimike Tufikie malengo Tokomeza Ziro Kwa vitendo Tokomeza Ziro (Tokomeza Ziro) Kwa vitendo Mwisho wa Ziro... Mwisho wa Ziro... (Tokomeza sina) Mwisho wa Ziro... Mwisho wa Ziro... (hey yeah) Mwisho wa Ziro... (oh no) Mwisho wa Ziro... (Mwisho wa ziro) Mwisho wa Ziro... (pa', pa', pa'...) Mwisho wa Ziro... Linah Sanga: Akakufundisha ukafika kuwa mwalimu Chonde chonde Moyo uliokuwa nao Ualimu wako (wako) Kipindi kile (kile) Ndicho wanachohitaji wanafunzi wako vile vile Jiunge na sisi Roma Mkatoliki: Yo Nyerere alitupa chaki akaenda kudai uhuru Elimu urithi wa haki acheni kupiga ndulu Mama nishoneshe shati Nakuahidi nitafulu Maticha wengi mayanki kazeni wanangu wa Bwiru (ha ha) Ongeza mishahara iwe motisha Zana za maabara na kukumbusha Mwasiti: Okoa kizazi chetu... Roma Mkatoliki: Ila Tokomeza Ziro, okay? Peter Msechu: Wanafunzi shika nidhamu Isikuponyoke Ni vibaya kukata elimu Kwa vyovyote Tambua kwa nini uko shule Kata utoro Kata utoro MwanaFA: Mwalimu fundisha Ili mtoto aelewe ipasavyo Usifundishe Mtoto kudidimia kumawazo Maisha yanahitaji elimu Ndio msingi kwenye kila la muhimu Kama yatamshinda Hakuna zaidi yako wa kumlahumu Elimu bora ni muhimu Kwa kila mmoja Wote tuelimike Tufikie malengo Tokomeza Ziro (na na na na na na na na na) Kwa vitendo Tokomeza Ziro (Tokomeza Ziro) Kwa vitendo Mwisho wa Ziro... Mwisho wa Ziro... (Tokomeza sina) Mwisho wa Ziro... Mwisho wa Ziro... (hey yeah) Mwisho wa Ziro... (oh no) Mwisho wa Ziro... (Mwisho wa ziro) Mwisho wa Ziro... (pa', pa', pa'...) Mwisho wa Ziro... Kala Jeremiah: with K. Sher Ana ndoto kila mtoto haki yake kwelimika (ah) Ni hesima ni lazima kila mzazi kuwajibika (ah) Tokomeza Ziro (eh) Kwenu we ndo hero (eh) Baba Mama wamaweka tumaini lao kwako K. Sher: Kiongozi mzingo usiyethamini elimu Uliyesahau, ulifundishwa ukapata Vikakujenga tukakupa nafasi Utuongoze... Stamina: Kila kitu kizuri duniani huletwa na pesa Elimu haina umri utasoma hata Memkwa Fanya chaguo chagua kitu kimoja Elimu ni ufunguo usipoteze uweke holders Mitizamo hasi inafelisha vijana Ticha ingia cla**i usitege bila maana Kuwa hero uwe mshindi kila sekta Tokomeza Ziro usimchore Messi NECTA Diamond Platnumz: Whoa, oh oh oh Asiye na ndoto za urahisi pia Ama kuwa msanii hujashangiliwa Tena msanii mkali Uweze kufika mbali Sa vipi utapata Na elimu unakata Oh, vipi utapata Na elimu unakata Ah Mwasiti: Huku ukinyong'onyea... Kwa woga na Kutojiamini Ukikosa maarifa Na mbinu za kukutoa shimoni Mwisho wa Ziro... Mwisho wa Ziro... (Tokomeza sina) Mwisho wa Ziro... Mwisho wa Ziro... (hey yeah) Mwisho wa Ziro... (oh no) Mwisho wa Ziro... (Mazingira, maburu) (Mwisho wa ziro) Mwisho wa Ziro... (pa', pa', pa'...) Mwisho wa Ziro... Tulia Mazingira... Mabaara Walimu Wa sayansi na hisabati pia Lishe duni darasa chakavu Lakini bado we unaweza... Kujituma ukafanya vizuri From Ziro to Hero (zero to hero) Ziro ni adui yetu... Mwisho wa ziro... (Elimu bora ni muhimu) Mwisho wa ziro.. (kwa kila mmoja) (Tokomeza sina) Mwisho wa ziro... (wote tuelimike) Mwisho wa ziro... (tufikie malengo) (Hey yeah) Mwisho wa ziro... (Tokomeza Ziro) (Oh no) Mwisho wa ziro.. (kwa vitendo) (Mwisho wa ziro) Mwisho wa ziro... (Tokomeza Ziro) (Pa', pa', pa'...) Mwisho wa ziro... (kwa vitendo) Mwisho wa ziro... (oh no no no) Mwisho wa ziro.. (kwa kila mmoja) (Tokomeza sina) Mwisho wa ziro... (wote tuelimike) Mwisho wa ziro... (tufikie malengo) (Hey yeah) Mwisho wa ziro... (Tokomeza Ziro) (Oh no) Mwisho wa ziro.. (kwa vitendo) (Mwisho wa ziro) Mwisho wa ziro... (Tokomeza Ziro) Kwa vitendo Panda mbegu bora Kitabu ndio maisha yako
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse