ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Rudi Darasani
por
Aslay
Retornar
Letra
Bado hujajuwa Bado hujajuwa utamu wa penzi Unanisumbua Unataka kazi huwezi kazi Rudi tena darasani Rudi tena darasani ukasome Mwenzako mi tanish no gemu za uswazi Sizitolei macho Nafanya za kibabe huwezi show zangu Nitakutoa jasho Maji ya kisima unachutama sio kusimama Ukipewa karoti ebu tafuna sio kumumunya Na ukiona bakora, lia lia Ila unanishangaza vidada, najitia nunda Rudi tena darasani yo yo Masomo mengine huyawezi Yatakutoa roho Mama mama kumbwi katoa boko Eeh kumbwi kumbwi katoa boko Aaaee mwalimu katoa boko Eh mwalimu katoa boko Mama mama kumbwi katoa boko Eeh kumbwi kumbwi katoa boko Aaaee mwalimu katoa boko Eh mwalimu katoa boko Wamekula hasara wazazi wako Wafate pesa zao kwa kumbwi wako Waliona guna guna kajibwa koko Umemzidi tembo kwenye uzito Kwa nini nisichepuke Nikatafute mapenzi Mwali unataka muhogo Wakati unashindwa kula ndizi Sijatulia mapepe niibie au niweze Nimezoea masotojo kuwa ndani Sipigi cha mkwezi, aah ………………… Rudi tena darasani yo yo Masomo mengine huyawezi Yatakutoa roho Mama mama kumbwi katoa boko Eeh kumbwi kumbwi katoa boko Aaaee mwalimu katoa boko Eh mwalimu katoa boko Mama mama kumbwi katoa boko Eeh kumbwi kumbwi katoa boko Aaaee mwalimu katoa boko Eh mwalimu katoa boko Mchana unajifunika shuka Usiku unazima taa Mapenzi ka ni kukurupuka Hutaki hata kujiandaa Matangopori, matangoo Eeh matango pori Eeh kawalishe wengine, matangoo Matango ooh, matangopori Mmh Matangopori, matangoo Eeh matango pori Mimi hunipati, matangoo Matango pori
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse