ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Marioo
por
Aslay
Retornar
Letra
Baby nipe nkatumie Nisipo deka kwako Nikadeke wapi mie? Nataka gari uninulie Nataka pamba kali nipendeze Na mimi wanisifie (Wanisifie) Mi kitandani fundi Nafanya unalia kama bundi Uo wivu wako sipendi Nipe pesa mi nikale tungi Nakufundisha mapenzi Japo una umri wa shangazi Nakudatisha kichizi Mpaka mume wako unamuona makuzi Napatapata vitisho nikiwa kitaani Mumeo anataka kuniua eti kisa nini? Kumbuka nina mwili wa mapenzi sina mwili wa ngumi Ila akitaka ndondi aende ulingoni badae Nibebe kwa mbeleko kama mtoto (Kama mtoto) Nipe pesa nikupe ukitakacho Nibebe kwa mbeleko kama mtoto (Kama mtoto) Nipepese nikupe ukitakacho Oh iyee mama Anataka pesa hana aliniomba Toka jana anataka sare Aende zake kwenye ngoma mmmmhhhhh Basi mpe Si umependa boga penda na ua lake Akinuna Atafanya zifugwe listi zote Napatapata vitisho nikiwa kitaani Mumeo anataka kuniua eti kisa nini? Kumbuka nina mwili wa mapenzi sina mwili wa ngumi Ila akitaka ndondi aende ulingoni baadae Nibebe kwa mbeleko kama mtoto (Kama mtoto) Nipe pesa nikupe ukitakacho Nibebe kwa mbeleko kama mtoto (Kama mtoto) Nipepese nikupe ukitakacho Ah mi ndo Mario, Marioo Mi ndo Mario, tabibu mkubwa wa penzi lako Mi ndo Mario, Marioo Mi ndo Mario, tabibu mkubwa wa penzi lako
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse