ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Magufuli Wambie
por
Aslay
Retornar
Letra
Wanajisumbua Wanashindana na moto si wa wataungua Magu tunajivunia Kwa uwepo wako tunatawala dunia Mmmh wanakusifia Wakiwa chooni nnje wanakukandia Magu tunakuelewa Ndio maana mpaka nyimbo tunakuimbia baba Magufuli beba, beba nchi baba Ikiwezekana beba mara mia saba Beba hatutokumwaga Katiba iruhusu tukupe moja kwa moja Rais googletag.pubads().definePassback('/21868434379/2020--landscape--300x100', [[300, 100], 'fluid']).display(); Umejenga barabara za magorofa Wazanamo jiji letu lawaka waka Sina budi mtaani wangu kukupa sifa Maana pahali pazuri umetufikisha Wanalewa wanavunjika miguu Ukiwapa nchi siwatatuua duu Watu gani hawajui wema wa mtu Wanataka watuweke sisi roho juu, baadae Oooh! Wapinzani hatuwapi kura zetu Wanyonge na wale vikosi eeh Tupo sawa Tanzania kama kambale Tanzania tunakwenda kimbele mbele Tumezisahau zile enzi za kale googletag.pubads().definePassback('/21868434379/2020--landscape--300x100', [[300, 100], 'fluid']).display(); Ooh CCM chama Inanipa raha mwenzenu Naskia raha nipo chama tawala Wapinzani wananuna Magufuli waambie Wakitaka wasitake CCM Chama chao Mama Samia mama waambie Wakitaka wasitake CCM Chama chao Jakaya Kikwete waambie Wakitaka wasitake CCM Chama chao Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi waambie Wakitaka wasitake CCM Chama chao Kaka sio juhudi zako Magufuli Ile mindege tungepata wapi? Kaka sio juhudi zako Magufuli Standard gauge tungepata wapi? googletag.pubads().definePassback('/21868434379/2020--landscape--300x100', [[300, 100], 'fluid']).display(); Wapinzani wanapanda mwendo kasi Na Air Tanzania Na magari yao wanatamba kwa barabara Ulizo tujengea Wanadiss wanafanya hawataki Kukufagilia Ila tuliokuchagua Tunakupenda tunakufagilia, Magufuli Ooh CCM chama Inanipa raha mwenzenu Naskia raha nipo chama tawala Wapinzani wananuna googletag.pubads().definePassback('/21868434379/2020--landscape--300x100', [[300, 100], 'fluid']).display(); Wajumbe (CCM), Madiwani (CCM) Wabunge (CCM), Rais (CCM) Hatuwachi kitu, oOoh wapinzani Hatuwapi kura zetu kamwe Doctor Sheddy waambie Wakitaka wasitake CCM Chama chao Kassim Majaliwa waambie Wakitaka wasitake CCM Chama chao Philip Mangula Wakitaka wasitake CCM Chama chao Dr Bashiru Ali Wakitaka wasitake CCM Chama chao Kaka Heri James Wakitaka wasitake CCM Chama chao Mama Maria Nyerere Wakitaka wasitake CCM Chama chao Mama Fatuma Karume Wakitaka wasitake CCM Chama chao Tanzania yote, yote Wakitaka wasitake CCM Chama chao googletag.pubads().definePassback('/21868434379/2020--landscape--300x100', [[300, 100], 'fluid']).display(); Kaka yangu Polepole Kiseme chama chetu kaka
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse