ENVIAR LETRAS
Top 100
Lançamentos de álbuns
Artistas
Comunidade
francês
Espanhol
Português
corrija a letra Letra
Hakuna
por
Aslay
Retornar
Letra
Uyeyeyeeeeh yeyeeeeh uyeeeh Uyeeeh Mmmh Sina hali iii nakosa furaha mwenzako Usiku silaligi na micgi joto lako Tafadhar iii fikiria maamuz yako Utakuja kuniua kwa mawazo mwana wa mwenzako Naaona nadondoka Maisha yanani yumbayumba Sina pakushika basi rudi mama mwenye nyumba Na kama ukipata barua uisome nakutuma Ewe njiwa, ewe njiwa eeeh Peleka salamu kwa mpenzi iiih iiih Ewe njiwa, ewe njiwa eeh Mwmbie nimemmiss kishenzi Nasema hakuna kma wewe Hakuna, hakuna, hakuna Mmmh wa kwngu mimi mwnywe Hakuna, hakuna, hakuna Unavumilia shida na raha eeeh Hakuna, hakuna hakuna Basi nsamehe eeh Hakuna, hakuna hakuna We ndo wa pekee Sidhani kama nitapata wakuja kunishika Na nikapumzika kama we Mwenzangu naona unanenepa mwenzako ninakonda Mifupa inatoka nisameheee Kwangu beki wamekaba Wamegoma hata kucheza ndondo ooh Au we ndo kocha wa mahaba Nashangaa umenipiga kumbo ooh Nazile shombo za paka sizitaki tena hata kidogo dogo Naona nadondoka Maisha yanayumba yumba Sinapakushika basi rudi mama mwenywe nyumba hii Na kama ukipata barua uisome nakutuma Ewe njiwa, ewe njiwa eeeh Peleka salamu kwa mpenzii iiiih Ewe njiwa, ewe njiwa eeh Mwambie nimemmiss kishenzi ii iiih Nasema hakuna kama wewe Hakuna, hakuna, hakuna Mmmh wa kwangu mimi mwenyewe Hakuna, hakuna, hakuna Unavumilia shida na raha yeee Hakuna, hakuna, hakuna Basi nsamehee eeh we ndo wa pekee
vídeo de música
Seu nome será publicado. Deixe os campos em branco para permanecer anônimo.
Enviar
Modal title
×
Adicionar mídia
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Lembre de mim
Senha perdida
Entrar
Registrarse