CORRECT LYRICS

Lyrics : Jambo

Hey, this is a song from Kenya
In the language of Swahili from Africa
Hello mister, hello sister
No problem, no worries
Oh, yeah!

Jambo, jambo bwana
Habari gani? Mzuri sana
Wageni, mwakaribishwa
Nyumba yetu, hakuna matata

Jambo, jambo bwana
Habari gani? Mzuri sana
Wageni, mwakaribishwa
Nyumba yetu, hakuna matata

Tujenge pamoja, hakuna matata
Amani kwa dunia, hakuna matata
Uhuru na undugu, hakuna matata
Afya na shupavu, hakuna matata
Harambe sawa sawa, hakuna matata