AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Angekuona
par
Aslay
Retour
Paroles
Yaani raha hata tukilala na njaa Kila saa nakuona mpya mami Tena raha huku ninavimba kitaa Unang'aa hata kwenye giza mami Basi tulia eeh, kama maji kwenye mtungi baby Nitakulea eeh, ilimradi unipe heshima Kama mbolea eeh, nitatia ili unawiri sana Nimekuzoea eeh, ukiniacha itaniuma sana Ooh I wish angekuona (Maa mama) Angefurahi mama (Maa mama) Eh mama yangu mama (Maa mama) Angefurahi mama (Maa mama) Ninavyomjua mama, angekupa vitenge Tena bila hiyana na kikapu cha embe Ana viwanja mama, angekupa ujenge Na ukirudi kwangu, mpasue mhogo wa jang'ombe Umeondoka mama imekuja zawadi Nabaki nalia nalia sina budi Usije nitupa mwana naogopa dhambi Ila nakuombea ulale pema kwa God Basi tulia eh, kama maji kwenye mtungi baby Nitakulea eh, ilimradi unipe heshima Kama mbolea eh, nitatia ili unawiri sana Nimekuzoea eh, ukiniacha itaniuma sana Ooh I wish angekuona (Maa mama) Angefurahi mama (Maa mama) Eh mama yangu mama (Maa mama) Angefurahi mama (Maa mama) Mama mama mama (Maa mama) I wish angekuwepo mama (Maa mama) Lolo lo lo lo lo (Maa mama) Uko wapi mama? mama mama mama Nakukumbuka mi mwanao eeh Ma mama, ma mama
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire