AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Tanzania Ya Sasa
par
Zuchu
Retour
Paroles
yolizer We mama njoo njoo uone nchi ilivyobadilika Tanzania ya leo oh imejengwa imejengeka Vitaa unhungo tazara za juu barabara, tayari zinatumika Relly yenye fiwa gobora standard relly karibu inakamilika Tanzania ya sasa mama (ai mama) Ya maghufuli mama (ai mama) Inawaka waka mama (ai mama) Inapendeza sana (ai mama) Tanzania ya sasa mama (ai mama) Ya CCM mama (ai mama) Inawaka waka mama (ai mama) Inapendeza sana (ai mama) Naasema jua lile, literemke mama jua lile literemke mama Nasema wapinzani watekereke sana (wapinzani watekereke) Jamani jua lile literemke mama eh (jua lile literemke mama) Wabaki wapinzani watekereke sana (wapinzani watekereke sana) Wazeee watoto wanawake hospitali bure (bure maghufuli uyo) Elimu ya msingi pamoja na secondary bure (bure maghufuli uyo) CCM hai (hai) hai hai (hai hai) Maghufuli hai (hai) hai hai (hai hai) (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Wapinzani wameamka kaa kaa (kaa kaa) Wameamka ka (kaa kaa) Doctor sheni hai (hai) hai hai (hai hai) Mama Sophia hai (hai) hai hai (hai hai) Wapinzani wameamka kaa kaa (kaa kaa) Wameamka ka, ka (kaa kaa) Majaliwa hai (hai) hai hai (hai hai) Nabashiru hai (hai) hai hai (hai hai) Wapinzani wameamka kaa kaa (kaa kaa) Wameamka kaa (kaa kaa) Tanzania ya sasa mama Ya maghufuli mama Inawaka waka mama Ya leo inapendeza sana (maghufuli mama) Tanzania ya sasa mama Ya CCM mama Inawaka waka mama Inapendeza sana (inangara) Naasema jua lile, literemke mama jua lile literemke mama Nasema wapinzani watekereke sana (wapinzani watekereke sana) Jamani jua lile literemke mama (jua lile literemke mama) Wabaki wapinzani watekereke sana (wapinzani watekereke sana) Mzee mangula hai (hai) hai hai (hai hai) Paul pole hai (hai) hai hai (hai hai) Wabynge wote hai (hai) hai hai (hai hai) Kamati kuu hai (hai) hai hai (hai hai) Wajumbe wa nurse hai (hai) hai hai (hai hai) Wenye vituo vitongonyi hai hai hai (hai hai) Mabalozi hai (hai) hai hai (hai hai) CCM hai (hai) hai hai (hai hai) Wanchama hai (hai) hai hai (hai hai) Wapinzani wameamkaa (kaa) kaa (kaa kaa) Wameamka kaa (kaa kaaa)
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire