AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Kwetu
par
Rayvanny
Retour
Paroles
[Maneno ya wimbo ya "Kwetu"] [Verse 1] Sifa kwa Mola wangu Maulana Kwa mengi aliofanya Hadi mi na we kukutana, kisura Sijapanga kudanganya Nasema ukweli mama Kisa nakupenda sana, kisura Umesema wanipenda Ila maisha yangu maseke Michicha milenda Menu yangu na ya kuku mateke Yaani chenga, kila siku kilio saa lini nicheke Sina tenda Ugali Buguruni mboga Temeke Nafurahi umeniridhia Niwe na wewe kimwali Maisha yangu mitihani Isoisha maswali Ukifika nyumbani vumilia Maana hali sio swali Asubuhi mchana pakavu Jioni ndo kula futali Tena [Pre-Chorus] Huku kwetu Muda wowote mateja wanatinga Viwalo vyetu Ukifua kumbuka kuvilinda Huku kwetu Muda wowote mateja wanatinga Mwali wee Suala la nyumba na gari mi [Chorus] Bado, mi bado, mi bado Ndo kwanza nimepanga Bado, iyee, mi bado Sina hata kiwanja Bado, iyee, mi bado Kulipa kodi majanga Bado, mimi bado, mi bado [Verse 2] Mtaani kwetu hekaheka ukienda sokoni kariri vichochoro Ghetto namkeka tu hakuna kitanda, shuka wala godoro Hekaheka hakuna kibatari ndani giza totoro Mvua ikinyesha nyumba inageuka ka boti ya Comoro [Bridge] Ila nimeshakupa Nimeshakupa mtima mtima Ukija kususa Utanizika mzima mzima Nimeshakupa eh Nimeshakupa mtima mtima Ukija kususa Utanizika mzima mzima Tena [Pre-Chorus] Huku kwetu Muda wowote mateja wanatinga Viwalo vyetu Ukifua kumbuka kuvilinda Huku kwetu Muda wowote mateja wanatinga Mwali wee Suala la nyumba na gari mi [Chorus] Bado, mi bado, mi bado Ndo kwanza nimepanga Bado, iyee, mi bado Sina hata kiwanja Bado, mie, mi bado Kulipa kodi majanga Bado, mimi bado, mi bado
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire