AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Alivyonipenda
par
Otile Brown
Retour
Paroles
Saa zingine anayekupenda humpendi Unapenda mwingine Anayependa mwingine hata asiye mpendanga Na kila mtu anataka type yake Saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga Alivyonipenda yule, alivyonipendanga Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga Yule aliyenipenda bure Nikamuacha kwa ajili yake yule Aliyefata pesa na zaidi ya hiyo sikuwa na maana Kweli macho yalinihadaa Haki macho yalinihadaa Alivyonipenda kwa bidii Suzeed kanionya mimi sisikii Urembo pekee hauridhishi Inahitaji zaidi Type yangu, ni yule anaejua thamani ya penzi langu… Type yangu, ni yule anaenienzi Ina maana gani, uwe na msichana mrembo Dunia Nzima, na hakupendi? Ina maana gani uwe na mume Mwenye hela chungu nzima na hakudhamini? Alivyonipenda yule, alivyonipendanga Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga Alikuwa wangu wahu wakati nilikuwa nameless Nikimuona nasinzia ka nameless Uko? Ntakuja kalesa Love ilikuwa genuine than leather Na huyu we started kitambo wakati skuma mezani was diambo Wakati stima kwangu was candle Wakati birthday yake haikuwa na keki Wakati nikisota alinipiga jeki Nikachanganyikiwa na rangi ya thao Yangu ikafunguka club ndio makao Leo Macha kesho coast tunakacha hata Tulizi doc*ment snapchat Niko empty nammiss kishenzi Alinipa ya kweli mapenzi Lonely mamiss alivyonipendanga Alivyonipenda yule, alivyonipendanga Alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire