AJOUTER PAROLES
Top 100
Sorties d'albums
artistes
Communauté
Espagnol
Portuguais
Anglais
Correction Paroles
Ngumi Mbwegze
par
Mbogi Genje
Retour
Paroles
Smady Tings Ah wah do dem Ah bie baga waganis Eh, whatcha know Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunasaka?picha?ya Kenyatta kwa?walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio?Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Show mrazi pigwa rwai Niko kwa warosho, najinyuria na mangwai Si ndio Mbogi Genje, sikusicheki walai Ikifika biz, ni warazi tunachai Yo, sitambui bloody f**king Niko hustling, nifike njati ya cafling Niko jabling, nashikisha tu na wabling Med ziko peak juu sinanga time ya idling Yo, look safi, ni manganya nasetoka Mawikendi, mashashola na mogoka Mtatii Mbogi Genje ikimochoka (Mtatii) Ati sisi ndio kunyamba ka itoka Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Juu si waras, yaani tukienda bash (Ras) Tunaseti shash, tuna-tunaseti shada (Shada) Tunatafash mpaka wanadai ni hush (Hush) Na si waresh wame-pin kwenye bash (Mbogi) Juu ni makeki, ni mangeus ndio watatoa cash (Aii) Na wakitoa cash, nazundua shash Tunaseti hadi zitu-catch Na zikishika sana, piga ata ngasha Na ukitupa staple, mi ndio nitaku-catch (Catch) Vidole zangu sticky, ni kama nitaku-pinch Juu niko mboka, man, acha nitaku-link Usi-tense, usiogope, nitaku-link (Oh) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka picha ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka sura ya Kenyatta kwa walenje (Kwa walenje) Tukimuok warazi wanabuya Govana, wakidigi ni lagunya (Militan) Dong'a gota nikuliet mashashola Senke ikiriet ni kihuti Kuwachai, kuwakata tukizied Smady, Militan kuwabugda (Bugda) Wakimuok, hatunauwo kusafisha (Hatunawuo) Wakimuok, hatunauwo kusafisha Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka kichwa ya Kenyatta kwa walenje Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunasaka picha ya Kenyatta kwa walenje Mbogi Genje, si ndio Mbogi Genje Tunataka kichwa ya Kenyatta kwa walenje
clip
Ton pseudo sera publié. Laisses les champs vide pour rester anonyme.
Soumettre
Modal title
×
Ajouter un média
Video URL?
(YouTube, Vimeo, Instagram, DailyMotion, Soundcloud)
×
Se souvenir de moi
Mot passe oublié
Connectes-toi
M'inscrire